Diamond Platnumz aja na albamu yake "A boy from Tandale"

Diamond Platnumz aja na albamu yake "A boy from Tandale"

Shida yako Diamond umekuwa MTU wa ZINGZONG yaani UNASHIRIKIANA na VICHWA vivumavyo ambapo HUWA unadumaza uwezo wako yaani inafanya mashabiki wa hao WENGINE hata kama hawakukubali wewe itabidi hiyo Video au audio ipate SUPPORT mitandaoni na hii itakupa wakati mgumu kwa kushindana na mtu anayeonyesha uwezo wake binafsi.
Nyimbo za ZILIPENDWA na HALLELUJAH ni kielelezo ambapo zinashindanishwa mitandaoni dhidi ya NYIMBO iliyoimbwa na mtu mmoja ALI KIBA "SEDUCE ME"hebu kumbukia mfumo wa AWALI wa kuimba peke yako ili UONYESHE UWEZO.
Viwers wa KUSHIRIKIANA idadi yao Ukiigawa kwa kila mmoja uliyemshirikisha then ukashindanisha na idadi ya viwers wa mtu mmoja utajikuta UKO-DOWN.
KIUKWELI SIJUI UMEANDIKA VINN BOSSSSSSSSS
NAHC KWENU WACHAWI
 
Msanii anayefanya vizuri na kuitangaza bongo flavour kimataifa na hitmaker wa "Hallelujah" Diamond Platnumz hivi punde atakuja na Album yake mpya iitwayo "A boy from Tandale"
9a24d27a26d3d2696b2e5447359ee72e.jpg

Na bila kusahau msanii nguli wa Hip hop wa marekani kavutiwa na ujio wa album ya Diamond Platnumz na kupost "fire "fire fire"
Kumanisha kuikubali ujio wa album hiyo ya Diamond Platnumz.
8799af774cc49ae2236838f47605e721.jpg

bed0e6241d77c6d8dcac8c6a1d882242.jpg

Kila la kheri Diamond Platnumz naamini nia yako itatimia kuipeleka bongo flavour umarekani.
God bless diamond Platnumz and artist from Africa continent.
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Ahaha aisee ni kweli kwa level ya Kiba kuzunguka na wakina Sharomwamba Fiesta ni aibu
Kiba mpaka kwenye vigodolo vya uswazi mbona huwa anapiga show kama kawa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Baada ya miaka miwili mitatu watu wataanza kuingia show zake kwa kununua vinywaji tu kaunta.
 
ha ha ha Diamond mwenyewe anasema hii album ya kwanza.. wewe unasema ya 3...

sugu ana album 10 tu.. na hata nikilima viazi simiyu je ninavunja sheria

We Huna chochote unachokijua ila unataka kujitia ujuaji...Kwanza hapa bongo hakuna msanii wa bongo flava mwenye albam 20 alie na Albam nyingi ni Sugu ambae azivuki hata 15.

Na hii sio Albam ya kwanza ya Diamond wakati anatoa albam ya "Kamwambie" na ile ya pili "Lala Salama" nina uhakika ulikuwa unalima viazi kijijini kwenu Simiyu.
 
Shida yako Diamond umekuwa MTU wa ZINGZONG yaani UNASHIRIKIANA na VICHWA vivumavyo ambapo HUWA unadumaza uwezo wako yaani inafanya mashabiki wa hao WENGINE hata kama hawakukubali wewe itabidi hiyo Video au audio ipate SUPPORT mitandaoni na hii itakupa wakati mgumu kwa kushindana na mtu anayeonyesha uwezo wake binafsi.
Nyimbo za ZILIPENDWA na HALLELUJAH ni kielelezo ambapo zinashindanishwa mitandaoni dhidi ya NYIMBO iliyoimbwa na mtu mmoja ALI KIBA "SEDUCE ME"hebu kumbukia mfumo wa AWALI wa kuimba peke yako ili UONYESHE UWEZO.
Viwers wa KUSHIRIKIANA idadi yao Ukiigawa kwa kila mmoja uliyemshirikisha then ukashindanisha na idadi ya viwers wa mtu mmoja utajikuta UKO-DOWN.
Ameshaimba mwenyewe nyimbo nyingi sanaaaa na ndio zilizompa umaarufu sasa ni muda wa kuonjeshwa ladha tofauti tofauti kupitia makolabo

Ni muda wa kuipeleka bongofleva kimataifa unafikiri ni rahisi kuingia ukiwa pekeako? Hata nyerere hakudai uhuru akiwa pekeake
 
ha ha ha Diamond mwenyewe anasema hii album ya kwanza.. wewe unasema ya 3...

sugu ana album 10 tu.. na hata nikilima viazi simiyu je ninavunja sheria
Anasema kwa "International Albam" hii ni Albam yake ya kwanza kuvuka mipaka mpaka kufika duniani.

Ila kama unazungumzia Albam kwa maana ya Albam hii inakwenda kuwa Albam yake ya tatu ukibisha nakuacha
 
Diamond ni Inspirational .

Kama wote tungekuwa na jitihada kama alizonazo Diamond kwa kile tunachokifanya, ninaamini tungekuwa mbali sana.

Let's be positive guys, tujifunze kwamba inawezekana.
 
Msanii anayefanya vizuri na kuitangaza bongo flavour kimataifa na hitmaker wa "Hallelujah" Diamond Platnumz hivi punde atakuja na Album yake mpya iitwayo "A boy from Tandale"
9a24d27a26d3d2696b2e5447359ee72e.jpg

Na bila kusahau msanii nguli wa Hip hop wa marekani kavutiwa na ujio wa album ya Diamond Platnumz na kupost "fire "fire fire"
Kumanisha kuikubali ujio wa album hiyo ya Diamond Platnumz.
8799af774cc49ae2236838f47605e721.jpg

bed0e6241d77c6d8dcac8c6a1d882242.jpg

Kila la kheri Diamond Platnumz naamini nia yako itatimia kuipeleka bongo flavour umarekani.
God bless diamond Platnumz and artist from Africa continent.
Woow Diamond Mungu atazidi kukubariki hujawahi wala kufikiria kupachukia ulipotoka. Aidha hii itawainspire vijana kwa ukifanya bidii na chochte unachokifanya utafanikiwa.
 
Back
Top Bottom