Shida yako Diamond umekuwa MTU wa ZINGZONG yaani UNASHIRIKIANA na VICHWA vivumavyo ambapo HUWA unadumaza uwezo wako yaani inafanya mashabiki wa hao WENGINE hata kama hawakukubali wewe itabidi hiyo Video au audio ipate SUPPORT mitandaoni na hii itakupa wakati mgumu kwa kushindana na mtu anayeonyesha uwezo wake binafsi.
Nyimbo za ZILIPENDWA na HALLELUJAH ni kielelezo ambapo zinashindanishwa mitandaoni dhidi ya NYIMBO iliyoimbwa na mtu mmoja ALI KIBA "SEDUCE ME"hebu kumbukia mfumo wa AWALI wa kuimba peke yako ili UONYESHE UWEZO.
Viwers wa KUSHIRIKIANA idadi yao Ukiigawa kwa kila mmoja uliyemshirikisha then ukashindanisha na idadi ya viwers wa mtu mmoja utajikuta UKO-DOWN.