Diamond Platnumz akabidhiwa tuzo 2 za African NAFCA kutoka Hollywood America

Diamond Platnumz akabidhiwa tuzo 2 za African NAFCA kutoka Hollywood America

mmh uchawi kumbe unalipa sometimes.

http:myoosho.com/tatubila/afrimma

JAMANI EEEEEEH ALHAMISI WIKI HII TUKUTANE AIRPORT KUZIPOKEA KAMAVIPI

SAA SABA MCHANA, NA DAKIKA 25

http:myoosho.com/tatubila/afrimma
 
dogo anawaka, ila kuna kauchawi kaongezea nadhani.
Nadhani ni vile hapajawahi kutokea msanii kama DIAMOND kwa TZ akafanikisha yaliyowashinda wengi ndo mana wasema hivi, Lakini je unajua anatumia kiasi gani kuwekeza huko ( muulize kibakuli kwa nini kashindwa kwa Godfather)
 
Mkuu Kibakuli ndio nani?umeniacha chalinze
 
KiBakUli ni Ali kiba meaning kiba is just kifupi cha neno kiba~kuli
 
Kupiga kura ingia link hii ⬇ inakupeleka category yake afu piga kura mara nyingi uwezavyo, unabonya neno vote pembeni ya picha ya diamond afu jibu unalopewa unakuwa unalikata (cancel) ili kuendelea kupiga kura, hata mara 20000 ili aibuke kinara best worldwide act kati ya washindi 6 duniani wataopatikana kwenye hiyo category (America, Europe, etc)

⬇
⬇

MTV EMA 2015 | 25.10.2015 | Milan | Vote
 
Back
Top Bottom