mmh uchawi kumbe unalipa sometimes.
Ki vipiKiba ameendelea kunyanyasa chart za muziki za Sudani Kusini na Burkinafaso
Nadhani ni vile hapajawahi kutokea msanii kama DIAMOND kwa TZ akafanikisha yaliyowashinda wengi ndo mana wasema hivi, Lakini je unajua anatumia kiasi gani kuwekeza huko ( muulize kibakuli kwa nini kashindwa kwa Godfather)dogo anawaka, ila kuna kauchawi kaongezea nadhani.
Nadhani ni vile hapajawahi kutokea msanii kama DIAMOND kwa TZ akafanikisha yaliyowashinda wengi ndo mana wasema hivi, Lakini je unajua anatumia kiasi gani kuwekeza huko ( muulize kibakuli kwa nini kashindwa kwa Godfather)
Usijali nikirudi Arusha nitakupitia ili turudi wote Dar.Mkuu Kibakuli ndio nani?umeniacha chalinze