Diamond Platnumz aki-perfom usiku wa Tuzo za CAF

Diamond Platnumz aki-perfom usiku wa Tuzo za CAF

Tazama sehemu ya performance ya Msanii Diamond Platnumz kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za CAF 2024 Marrakesh, Morocco

View attachment 3178450
Pia, Soma: Diamond Platnumz kutumbuiza katika Hafla ya Ugawaji Tuzo za CAF, Desemba 16 Morocco
Mondi hawakumlipa vzr au vp?

Mondi wa miaka ya nyuma kwenye stage alikua ni moto, nakumbuka aliwahi fanya 'One man' show pale kahama aisee jamaa aliua, sio kwa ile stamina na energy, lkn hapa nadhan hawakumlipa vzr huyu mwamba
 
Ukumbuke Kahama aliwajazia mafuta bure bidaboda na walijaa uwanja wa taifa balaa kumshangilia... huku Blue akiwa African Lounge Diamond akiwa Uwanja wa Taifa, bado Blue alijaza..😀😀
 
Mliosema hajaperfome vizur mnamaanisha nini?

Mbona naona amefanya vizur tu au kuna mambo mliyatarajia hamkuyaona
 
Nyie ndio hua "mnawekwa" kirahisi sana.... sasa hapo kuna mahali ametajwa KIBA? Au Diamond kalinganishwa na yoyote..??? Hebu punguza ..mshindo bana.
Wewe mata-ko tulia! Watu tunajua muziki sio nyie wafuata kambi.pumbavu.
 
Back
Top Bottom