Diamond Platnumz aki-perfom usiku wa Tuzo za CAF

Diamond Platnumz aki-perfom usiku wa Tuzo za CAF

Nyie ndio hua "mnawekwa" kirahisi sana.... sasa hapo kuna mahali ametajwa KIBA? Au Diamond kalinganishwa na yoyote..??? Hebu punguza ..mshindo bana.
Huyo niliyomquote anajulikana humu kwa kumsifia Kiba hata kwa lisilo na maana Samahani sana kwa kumtaja mumeo Kiba.
 
Domo hawezi kuimba live, ndo maana anabugi kwenye baadhi ya show.

Kwa kifupi alipuyanga. Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Okay, tuwe constructive:

Show nzuri ila sio kwa audience hiyo. Hao wazee mashefa maboss watasha unawaimbia izo nyimbo na unadance ivo? Nope.
 
Ukisikiliza vizuri hata maneno ya kwenye hiyo nyimbo yaje mwenyewe alikuwa nayakosea !
 
Music wake na audience havikuendana,wale walihitaji music wa wazee si wa vijana.
 
Back
Top Bottom