Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kiba yeye yupo Mbagala Kibulugwa show yake imebamba..."Wivu kills".Show mbovu haijawahi kutokea. Diamond ameshakuwa kiumri na kimuziki ila anatumbuiza kama enzi zile 2012/13.
Imeboa, angeimba Komasava pekee maana list yake haijambeba.
The diamond I knew on stage is goneTazama sehemu ya performance ya Msanii Diamond Platnumz kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za CAF 2024 Marrakesh, Morocco
View attachment 3178450
Pia, Soma: Diamond Platnumz kutumbuiza katika Hafla ya Ugawaji Tuzo za CAF, Desemba 16 Morocco
HAWEZI HAWEZI HAWEZIIIIajifunze Muziki wa live sasa
mdogo mdogo atawezaHAWEZI HAWEZI HAWEZIIII
Mondi hawakumlipa vzr au vp?Tazama sehemu ya performance ya Msanii Diamond Platnumz kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za CAF 2024 Marrakesh, Morocco
View attachment 3178450
Pia, Soma: Diamond Platnumz kutumbuiza katika Hafla ya Ugawaji Tuzo za CAF, Desemba 16 Morocco
Tazama sehemu ya performance ya Msanii Diamond Platnumz kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za CAF 2024 Marrakesh, Morocco
View attachment 3178450
Pia, Soma: Diamond Platnumz kutumbuiza katika Hafla ya Ugawaji Tuzo za CAF, Desemba 16 Morocco
Nyie ndio hua "mnawekwa" kirahisi sana.... sasa hapo kuna mahali ametajwa KIBA? Au Diamond kalinganishwa na yoyote..??? Hebu punguza ..mshindo bana.Kiba yeye yupo Mbagala Kibulugwa show yake imebamba..."Wivu kills".
Ukumbuke Kahama aliwajazia mafuta bure bidaboda na walijaa uwanja wa taifa balaa kumshangilia... huku Blue akiwa African Lounge Diamond akiwa Uwanja wa Taifa, bado Blue alijaza..😀😀Mondi hawakumlipa vzr au vp?
Mondi wa miaka ya nyuma kwenye stage alikua ni moto, nakumbuka aliwahi fanya 'One man' show pale kahama aisee jamaa aliua, sio kwa ile stamina na energy, lkn hapa nadhan hawakumlipa vzr huyu mwamba
Atachemka tu, hawezi kishazoea muziki fake wa computer.ajifunze Muziki wa live sasa
Mliosema hajaperfome vizur mnamaanisha nini?
Mbona naona amefanya vizur tu au kuna mambo mliyatarajia hamkuyaona
Wewe mata-ko tulia! Watu tunajua muziki sio nyie wafuata kambi.pumbavu.Nyie ndio hua "mnawekwa" kirahisi sana.... sasa hapo kuna mahali ametajwa KIBA? Au Diamond kalinganishwa na yoyote..??? Hebu punguza ..mshindo bana.