muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Huyo niliyomquote anajulikana humu kwa kumsifia Kiba hata kwa lisilo na maana Samahani sana kwa kumtaja mumeo Kiba.Nyie ndio hua "mnawekwa" kirahisi sana.... sasa hapo kuna mahali ametajwa KIBA? Au Diamond kalinganishwa na yoyote..??? Hebu punguza ..mshindo bana.
Halafu cha ajabu huyo wanayemuona ni bora sijui kama mwaka huu hadi unaisha amewahi kupiga show hata BurundiHuyo niliyomquote anajulikana humu kwa kumsifia Kiba hata kwa lisilo na maana Samahani sana kwa kumtaja mumeo Kiba.
🤣🤣🤣Halafu cha ajabu huyo wanayemuona ni bora sijui kama mwaka huu hadi unaisha amewahi kupiga show hata Burundi
anapoelekea atakuwa anapata show za kwenye mabar afurahishe walevi lakini sio special performance kama hiziAtachemka tu, hawezi kishazoea muziki fake wa computer.