Diamond Platnumz akutana na Kanye west

Usiktake kulazimisha hisia zako, anaweza asijue TZ bado akamjua D au vice versa au akawa anajua both. Hawa ni watu wa kawaida kama wewe tu wa Uyole. Nakupa hii, D anafanya kazi na Swizz beats beats ambaye ni close friend wa Kanye.


Hahahahahahahaa ni normal people lakini wabongo ni wa hovyo hovyo
 
Huyu jamaa namjua hahaha kuna connection hapo huwa anafany sheli pale Kia
 
kawaida tuu mbona alisha wahi piga pic na Nelly
 
wivu mbaya sana halafu ME siku hizi wamechukua nafasi ya KE roho ndogo na chuki za kijinga zitawamaliza mazee hongera simbaaaaa nchi yangu lazima ijulikane duniani kama wameshindwa itambulisha kwa vivutio wataijua kupitia chibudee
 
Ila tukumbuke kwa Psquare tilimbeza hivi hivi.Mzee wa fursa huyo. Na anajua kuwa prove watu wrong sana sana sana.
Sawa jamaa Ana shobo Sana Vanessa mdee kapiga picha na wakaongea nae na Kanye we unafikir kupiga picha ni ishu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…