wivu mbaya sana halafu ME siku hizi wamechukua nafasi ya KE roho ndogo na chuki za kijinga zitawamaliza mazee hongera simbaaaaa nchi yangu lazima ijulikane duniani kama wameshindwa itambulisha kwa vivutio wataijua kupitia chibudee
wivu mbaya sana halafu ME siku hizi wamechukua nafasi ya KE roho ndogo na chuki za kijinga zitawamaliza mazee hongera simbaaaaa nchi yangu lazima ijulikane duniani kama wameshindwa itambulisha kwa vivutio wataijua kupitia chibudee
collabo ya neyo ndio kaenda ku shoot video yake baada show ya leo. wanaanza kushoot na neyo so usiwe na wasi ya p square inakuja ya mafikizolo mwezi wa 4 ya fally mwezi wa 7 ziko nyingi mnoo
sizani ata kama anajua kuna msanii anaitwa diamond kwanza cheki alivonuna kama kalazimishwa kupiga picha
We ndo meneja wake nini??
alafu utakuta suruali imechanika chanika kwenye magoti sijui ni fashion au ni ukichaaHayo Ma headphone kwa vijana sjui hizi utadhani marubani, hapo utakuta suruali ipo mapajani!
Aisee na Alikiba na yeye yuko serenget,kakutana na tembo
Uzuri wa huyu mtt wa kizaramo anajua kujishusha plus kujipendekeza pale anapohitaji kitu...
Naisubiri kazi yake na Alicia keys&swizz beats
Akomalie kolabo tu, zake binafsi hawezicollabo ya neyo ndio kaenda ku shoot video yake baada show ya leo. wanaanza kushoot na neyo so usiwe na wasi ya p square inakuja ya mafikizolo mwezi wa 4 ya fally mwezi wa 7 ziko nyingi mnoo
Yeye ndiye kaifanya habari kubwa, sisi tunacomment tu kwa taarifa hiyo kubwaWatanzania bana wanavipaga promo vitu vya ajabu ajabu, alafu wakenya wakivipa promo vitu vya maana vya tanzania mnasema wanawaibia, mfano diamond kupiga picha na west kuna kipi cha ajabu hapo mpaka iwe habari? Ukizingatia hapo wamekutana airport tu.
Sio mkonge ni pembe za ndovu au tusk. Mkonge si huo mkia wao wa mbele unawasaidia kula