Diamond Platnumz akutana na Kanye west

Diamond Platnumz akutana na Kanye west

wivu mbaya sana halafu ME siku hizi wamechukua nafasi ya KE roho ndogo na chuki za kijinga zitawamaliza mazee hongera simbaaaaa nchi yangu lazima ijulikane duniani kama wameshindwa itambulisha kwa vivutio wataijua kupitia chibudee
Kwani Kanye na Robert Kelly hadhi zipo saw a?....absolutely NO...thanx Kiba ulishafanyaga haya zamani
 
je diamond ana kujua? unamchukiaje mtu ambae hata hana hisia kuna kiumbe kama wewe duniani kazi zake we usipo zisikiza wapo wanao zipenda tafuta pesa dogo kivingine panic at your own risk kamuone mwanasaikolojia unatatizo wewe
Nani kapaniki kati yenu aliyeandika sentens moja au ww uliyejibu kifungu cha habari hahahahaaa...
 
Diamond alipotoka Nigeria alisema harusi ya psqure amehudhuria akina P squre walipo kuja Bongo wakaulizwa Mnamfaham Diamond wakasema hawamfaham daimond akasema watanifaham tu kwa lazima

leo nenda kawaulize tena akina Psqure mnamfaham Diamond uone watasema nini
Ndo nn?
 
Acheni ulimbukeni ndugu zangu swala la kupiga picha sio lazima kanye awe anamjua diamond, mfano ni huyu jamaa alipiga picha na J cole pale airport KIA jamaa wala hajulikani hata mtaani kwao kapiga picha na Cole na ikawa kawaida watanzania tusiwe washamba kiasi hiki wa View attachment 327452kuona kila kitu ni cha ajabu!
Mkuu ushamba ndio unaowasumbua ndio maana watu wanaona ni vitu vya ajabu
 
Acheni ulimbukeni ndugu zangu swala la kupiga picha sio lazima kanye awe anamjua diamond, mfano ni huyu jamaa alipiga picha na J cole pale airport KIA jamaa wala hajulikani hata mtaani kwao kapiga picha na Cole na ikawa kawaida watanzania tusiwe washamba kiasi hiki wa View attachment 327452kuona kila kitu ni cha ajabu!
Ilikuwa habari kubwa hii hadi we ukafahamu j.cole alikuja Tanzania
 
Nilisha ishi Wisconsin USA ilikuwa shida sana kujitambulisha ukisema Tanzania wao wanahisi Trinidad

Watu wa America sio wa Kariba ya kimanzese huwa hawafuatilii yanayojiri Africa Mara nyingi wao huwa wanapokuja Sauzi huwa ndo wanajua Africa nzima ni sauzi Mara nyingi nchi wanazozijua wao ni Egypt, Dzonga , Nigeria, Ghana , Kenya Ethiopia na Somalia maybe kidogo na Namibia na sio Zombie land
Kuna watanzania wapo pia hawaijui marekani
 
Back
Top Bottom