yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,898
Ninakiri wazi wewe sio mzima na unajibu kwa mihemko kweli
Wewe ni mzima???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninakiri wazi wewe sio mzima na unajibu kwa mihemko kweli
Mhhhhhhhh kanye akamjue naniiii?...be serioussawa ni LAX lkn inaonekana Kanye anamfahamu Diamond prior to that,la sivyo angemzingua maana wote tunamjua kanye huwa ana atitud fulani
Mhhhhhhh...kanye Omar West au kanye shambani?... Kwani unazo picha zake zote?huwa hachekagi pale anapopiga picha labda iwe ni ya kutangaza kitu fulani na inamtaka kufanya hivyo
Kwani Kanye na Robert Kelly hadhi zipo saw a?....absolutely NO...thanx Kiba ulishafanyaga haya zamaniwivu mbaya sana halafu ME siku hizi wamechukua nafasi ya KE roho ndogo na chuki za kijinga zitawamaliza mazee hongera simbaaaaa nchi yangu lazima ijulikane duniani kama wameshindwa itambulisha kwa vivutio wataijua kupitia chibudee
Nani kapaniki kati yenu aliyeandika sentens moja au ww uliyejibu kifungu cha habari hahahahaaa...je diamond ana kujua? unamchukiaje mtu ambae hata hana hisia kuna kiumbe kama wewe duniani kazi zake we usipo zisikiza wapo wanao zipenda tafuta pesa dogo kivingine panic at your own risk kamuone mwanasaikolojia unatatizo wewe
Nakunya masaa 24 na siku 7 kwa miezi 36unaweza ukakuta kanye west ndio aliomba kupiga picha
Ndo nn?Diamond alipotoka Nigeria alisema harusi ya psqure amehudhuria akina P squre walipo kuja Bongo wakaulizwa Mnamfaham Diamond wakasema hawamfaham daimond akasema watanifaham tu kwa lazima
leo nenda kawaulize tena akina Psqure mnamfaham Diamond uone watasema nini
Kama kuna ukweli flan hiviiAkomalie kolabo tu, zake binafsi hawezi
Nyooooo...Swizz kaomba nini????????????????????????????????"Anafanya" sio kafanya. Kazi inapikwa itakuja soon tena Swizz ndiyo aliomba kufanya Kazi na D
Hata alipopigwa tuzo 5 na king akitokea kwenye tuzo 7!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Be seriousMm binafsi uwa najivunia sana kuwa shabiki wa huyu jamaa ajawai kuniangusha ya diamond forever
Siyo kukutana kapiga kaz na Robert Kelly kamuulize dingi yako kati ya kanye west na r.Kelly anamjua nani?...afu lete mrejeshoHaahaahha alikiba yeye kakutana na tembo!
utakuwa umekula nini kijanaNakunya masaa 24 na siku 7 kwa miezi 36
Nmekula diamond kuombwa collabo na Swizz beatsutakuwa umekula nini kijana
Selfie ya kulazimisha.Hapo ni Airport LAX kwa wanayoifahamu wataniunga mkono inawezekana aliomba kupiga picha tu
Mkuu ushamba ndio unaowasumbua ndio maana watu wanaona ni vitu vya ajabuAcheni ulimbukeni ndugu zangu swala la kupiga picha sio lazima kanye awe anamjua diamond, mfano ni huyu jamaa alipiga picha na J cole pale airport KIA jamaa wala hajulikani hata mtaani kwao kapiga picha na Cole na ikawa kawaida watanzania tusiwe washamba kiasi hiki wa View attachment 327452kuona kila kitu ni cha ajabu!
Kanye uwa acheki ovyo ovyo umemjua Leo nnsizani ata kama anajua kuna msanii anaitwa diamond kwanza cheki alivonuna kama kalazimishwa kupiga picha
Kibakuli nae anapiga na wasanii wa nigeriaHellow"""" i'm diamond from Africa!!! Can we hav a selfie??? So i can send it back home haaaaaaahaaaaaaaaaa!!'
Ilikuwa habari kubwa hii hadi we ukafahamu j.cole alikuja TanzaniaAcheni ulimbukeni ndugu zangu swala la kupiga picha sio lazima kanye awe anamjua diamond, mfano ni huyu jamaa alipiga picha na J cole pale airport KIA jamaa wala hajulikani hata mtaani kwao kapiga picha na Cole na ikawa kawaida watanzania tusiwe washamba kiasi hiki wa View attachment 327452kuona kila kitu ni cha ajabu!
Kuna watanzania wapo pia hawaijui marekaniNilisha ishi Wisconsin USA ilikuwa shida sana kujitambulisha ukisema Tanzania wao wanahisi Trinidad
Watu wa America sio wa Kariba ya kimanzese huwa hawafuatilii yanayojiri Africa Mara nyingi wao huwa wanapokuja Sauzi huwa ndo wanajua Africa nzima ni sauzi Mara nyingi nchi wanazozijua wao ni Egypt, Dzonga , Nigeria, Ghana , Kenya Ethiopia na Somalia maybe kidogo na Namibia na sio Zombie land
Unazitaka au.? Kuwa na subiraMashabiki wa daimondi kama zombies ile collabo na neyo vipi he ile na psquare