Diamond Platnumz akutana na Kanye west

huyo ni mtanzania wa kawaida asiyejihusisha na sanaa. Kwa mtu kama DIAMOND kukutana na msanii yoyote mkubwa its a big deal because alot can be discussed and you never know how fond the artist can be with diamond. Wanasema hata ddk1 inatosha kumsawishi mtu kitu ni akili tu. SO yeah its news and a very big deal🙂
 
Mashabiki wa daimondi kama zombies ile collabo na neyo vipi he ile na psquare
zombie ni wewe usiejielewa
kila kitu kinakuja kwa wakati tuliza mshono
kuhusu collable na ne-yo nenda kacheki kwenye page ya diamond ya instagram leo kuona maendeleo
 
Diamond : can i take Ekotite brooo!!

Kanye: who are you???

Diamond: Im your number one fan from Africa.

Kanye: ooohh lets do it.

Diamond :Leo watakoma lazima nipost insta
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mashabiki wa daimondi kama zombies ile collabo na neyo vipi he ile na psquare
Kuhusu neyo jibu ilo hapa
Huyu pemben ya babu tale n manager wa diamond kwa upande wa marekani je unajua kashafanya Kazi na wanamziki wangapi wakubwa Leo hii LA uko
 
Kuhusu neyo jibu ilo hapa
Huyu pemben ya babu tale n manager wa diamond kwa upande wa marekani je unajua kashafanya Kazi na wanamziki wangapi wakubwa Leo hii LA uko
Umeisahau ile picha yupo na Yazz kama unayo ebu itupie bro.
 
Jamani Mbona kupiga picha na celebrity ni vitu vya kawaida...Maana naona Kama imekuwa big deal..
Ukiwa mtu wa kusafiri au kujichanganya lazima utakutana nao tu..
 
hii show ya Las vegas imeendaje naona anapiga picha tu, huko watu wamepinda sana hawakawii kupandisha mizuka.
 
Jamani Mbona kupiga picha na celebrity ni vitu vya kawaida...Maana naona Kama imekuwa big deal..
Ukiwa mtu wa kusafiri au kujichanganya lazima utakutana nao tu..
Ni kawaida kwa wengine Mkuu,ila diamond ni ajabu sana na hapo hawakawii kusema kanye west kaomba kolabo kwa diamond
 
Na yule jamaa wa msoga alivyokiwa anaenda huko daily
Bado hawajaijua tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…