Diamond Platnumz akwaa skendo ya kuiba wimbo mpya

Nyimbo yenyewe mbaya,

Mwizi gani anaiba kitu kibovu namna hii?
 
Huwa namchukia mwanamke mmbeya naona ni kukosa kazi...halafu wewe ni kiume
 
Mange kasemaje?
 
Mwenye uzi instagram ndio pako huku jf hustahili kabisa
 
diamond kajibu ilo kwenye block 89 ya wasafi fm

kaseme hio ngoma ni yake na beat kagonga lizer


ila huyo dogo alifanya nae collabo n watashoot video
 
Mbona tayari amejibu kuhusu hilo kwenye interview yake ya Leo !

Amesema hiyo nyimbo ni yake na hata beat ni yake, jamaa ndiye alimuomba MONDI collaboration na tayari alikuwa na biti yake ila akamuambia MONDI kuwa anataka beat angalau inayo fanana na ile ya NITAMPATA WAPI.

Na amesema yeye ametoa hiyo video kama version tofauti na ile original ila watatoa video ya wimbo original ambao MONDI ameshirikishwa ....
 
Nzory vp upo tanga au wapi
 
dogo ana maisha marefu kama msaniii.ni mshamba na fala Utandale umemkaaa mpaka ubongoni yeye na mama ake.sisi tumekulia kwa mfuga mbwa lakini tuna akili na tupo makini...soon atarudi Tandale..maaana ata madale ni mkopo
Wivu wa jikoni ni wa kise..... Kisengerema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…