Diamond Platnumz: All The Way Up Volume 2 (Awataja Wema Sepetu, Hamisa Mobeto & Zari)

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Diamond aachia Remix ya All The Way Up Volume 2.

Humo ndani amemtaja Zari, Mobeto , pamoja na Wema, na moja kati ya mistari yenye utata ni huu: ''wao wakipost tembo sie tunapost show''.

OVA!

"MISTARI"

Yoh Sura mizengo ila bonge la bishoo/ Wananiita Sammo Hung jinsi nnavyowakaba koo

Aah Siachi pengo mpaka waombe poo / wao wakipost tembo si tunapost show

(aah eeh) mwambie na tirarira/ (aah eeh) Kamwe kanzu haifanani na dera/ (aah eeh) beki kadaka mpira/ (aah eeh) Huu mchezo hauitaji hasira

(Raaah) mara nakula Hamisa mobeto/ (raah) Ati sepenga kaja magheto/ (raah) ilimradi zari apate mchecheto

Tale waambie waache Unambinambi/ hata nikila wote dini yangu sio dhambi aah

=======

Diamond ameachia verse nyingine ya Remix yake ya ‘All the way Up’ , amejibu tetesi za kuchepuka, jina la Simba na mpinzani wake, Alikiba.

Kulikuwa na tetesi kuwa muimbaji huyo wa ‘Salome’ amerudiana na Wema sepetu kimyakimya, pia kuna tetesi kuwa amechepuka na Hamisa mobetto ambaye pia ametokea kwenye video yake mpya, Jibu ndio hili;

“Mara nakula hamisa mobetto, ati Sepenga kaja magetho, ilimradi Zari apate mchecheto, Tale waambie waache unambinambi, hata nikila wote dini yangu sio dhambi”.

Diamond na Alikiba ni washindani wakubwa kimuziki na maneno ya hapa na pale hayakosekani, Huku Diamond akiwa amesaini dili kubwa zaidi la kuwa balozi wa Vodacom, Alikiba na yeye alipata dili la kuwa Balozi wa Wild Aid, inayopinga mauaji ya tembo. Diamond nalo kaliongelea;

“Siachi pengo hadi waombe poo, wao wakipost tembo si tunapost show”.

Kama unajiuliza Tilalila ni nani, basi jua kuwa ni Mr.Blu jina limetokana na wimbo wake wa ‘Tilalila’ wa muda kidogo. Mr. Blu na Diamond waliwahi kuingia kwenye mgogoro wa jina la ‘Simba’, Chibude nalo hajaliacha lipite;

Mwambie na tilalila, kamwe kanzu haifanani na dera”.

Enjo All the Way Up RMX..
 
yoh Sura mizengo ila bonge la bishoo/ Wananiita Sammo Hung jinsi nnavyowakaba koo

Aah Siachi pengo mpaka waombe poo / wao wakipost tembo si tunapost show

(aah eeh) mwambie na tiralila/ (aah eeh) Kamwe kanzu haifanani na dera/ (aah eeh) beki kadaka mpira Huu mchezo hauitaji hasira

(Raaah) mara nakula Hamisa mobeto/ (raah) Ati sepenga kaja magheto/ (raah) ilimradi zari apate mchecheto

Tale waambie waache Unambinambi/ hata nikila wote dini yangu sio dhambi aah
Link
www.djmwanga.com/2016/09/diamond-plantnumz-all-way-up-v2-wema.html?m=1
 
Back
Top Bottom