Diamond Platnumz: All The Way Up Volume 2 (Awataja Wema Sepetu, Hamisa Mobeto & Zari)

Diamond Platnumz: All The Way Up Volume 2 (Awataja Wema Sepetu, Hamisa Mobeto & Zari)

Falla huyo.
Halafu kuna wale wapuuzi kila siku wanasema Kiba anasafiria nyota ya domo...hii nini?
Kiba hajawahi kumdiss huyo mjingamjinga domo lakini yeye leo kesho meneja wake Salam.
Kiba hawatoki akilini [emoji12].
baada ya kuandika haya maneno umejiona umepata faraja au sio ?

Domo bado kutoa visengeli tu na atatoa
 
MTOTO WA KIUME KUIMBA MAFUMBO NA KUTOBOA KIPINI NDO DALILI ZA UPUNGA
 
Falla huyo.
Halafu kuna wale wapuuzi kila siku wanasema Kiba anasafiria nyota ya domo...hii nini?
Kiba hajawahi kumdiss huyo mjingamjinga domo lakini yeye leo kesho meneja wake Salam.
Kiba hawatoki akilini [emoji12].
Alishamdis diamond angalia sporah show yaalikiba mi nlimshangaa kiukwel
 
Diamond ameachia verse nyingine ya Remix yake ya ‘All the way Up’ , amejibu tetesi za kuchepuka, jina la Simba na mpinzani wake, Alikiba.

Kulikuwa na tetesi kuwa muimbaji huyo wa ‘Salome’ amerudiana na Wema sepetu kimyakimya, pia kuna tetesi kuwa amechepuka na Hamisa mobetto ambaye pia ametokea kwenye video yake mpya, Jibu ndio hili;

“Mara nakula hamisa mobetto, ati Sepenga kaja magetho, ilimradi Zari apate mchecheto, Tale waambie waache unambinambi, hata nikila wote dini yangu sio dhambi”.

Diamond na Alikiba ni washindani wakubwa kimuziki na maneno ya hapa na pale hayakosekani, Huku Diamond akiwa amesaini dili kubwa zaidi la kuwa balozi wa Vodacom, Alikiba na yeye alipata dili la kuwa Balozi wa Wild Aid, inayopinga mauaji ya tembo. Diamond nalo kaliongelea;

“Siachi pengo hadi waombe poo, wao wakipost tembo si tunapost show”.

Kama unajiuliza Tilalila ni nani, basi jua kuwa ni Mr.Blu jina limetokana na wimbo wake wa ‘Tilalila’ wa muda kidogo. Mr. Blu na Diamond waliwahi kuingia kwenye mgogoro wa jina la ‘Simba’, Chibude nalo hajaliacha lipite;

Mwambie na tilalila, kamwe kanzu haifanani na dera”.

Enjo All the Way Up RMX..


Alafu hapo kwenye tilalila Inawezekana pia Mondi ameungana na Blue kumpiga dongo Barakah ambae yupo chini ya kiba... Maybe
 
Sijaona sehemu ya diamond kumdiss alikiba hiyo ni verse ya 2 na verse ya kwanza ilitoka kama wiki 2 zilizopita ya all the way up
 
Back
Top Bottom