Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WASHAPOTEA HAO HAWANA HIT SONGS KAMA ZAMANI HATA MTOTO MDOGO ANAIMBADrake na Chris Brown walikuwa na Beef,
Je, nao pia wamepotea kwenye game?
kama unajua mziki utagundua raymond ana mchango wake mkubwa katika kale kaverse na verse iliyopitaJamaa akihamia kwenye Rap Marapper wote lazima wafe njaa tu
baada ya kuandika haya maneno umejiona umepata faraja au sio ?Falla huyo.
Halafu kuna wale wapuuzi kila siku wanasema Kiba anasafiria nyota ya domo...hii nini?
Kiba hajawahi kumdiss huyo mjingamjinga domo lakini yeye leo kesho meneja wake Salam.
Kiba hawatoki akilini [emoji12].
Sisi wenye umri mkubwa na tuishio vijijini/mikoani wakati mwingine tunapata shida kidogo kuelewa lugha za vijanaHadi wimbo pia hujauelewa?
Alishamdis diamond angalia sporah show yaalikiba mi nlimshangaa kiukwelFalla huyo.
Halafu kuna wale wapuuzi kila siku wanasema Kiba anasafiria nyota ya domo...hii nini?
Kiba hajawahi kumdiss huyo mjingamjinga domo lakini yeye leo kesho meneja wake Salam.
Kiba hawatoki akilini [emoji12].
Diamond ameachia verse nyingine ya Remix yake ya ‘All the way Up’ , amejibu tetesi za kuchepuka, jina la Simba na mpinzani wake, Alikiba.
Kulikuwa na tetesi kuwa muimbaji huyo wa ‘Salome’ amerudiana na Wema sepetu kimyakimya, pia kuna tetesi kuwa amechepuka na Hamisa mobetto ambaye pia ametokea kwenye video yake mpya, Jibu ndio hili;
“Mara nakula hamisa mobetto, ati Sepenga kaja magetho, ilimradi Zari apate mchecheto, Tale waambie waache unambinambi, hata nikila wote dini yangu sio dhambi”.
Diamond na Alikiba ni washindani wakubwa kimuziki na maneno ya hapa na pale hayakosekani, Huku Diamond akiwa amesaini dili kubwa zaidi la kuwa balozi wa Vodacom, Alikiba na yeye alipata dili la kuwa Balozi wa Wild Aid, inayopinga mauaji ya tembo. Diamond nalo kaliongelea;
“Siachi pengo hadi waombe poo, wao wakipost tembo si tunapost show”.
Kama unajiuliza Tilalila ni nani, basi jua kuwa ni Mr.Blu jina limetokana na wimbo wake wa ‘Tilalila’ wa muda kidogo. Mr. Blu na Diamond waliwahi kuingia kwenye mgogoro wa jina la ‘Simba’, Chibude nalo hajaliacha lipite;
“Mwambie na tilalila, kamwe kanzu haifanani na dera”.
Enjo All the Way Up RMX..
Acha kufananisha watuDrake na Chris Brown walikuwa na Beef,
Je, nao pia wamepotea kwenye game?
Acha masihara brazadomo is better rapper than fid q
Hahaha... jamaa wanabeba Grammy unasema wamepotea? track zinagonga Platnum unasema wamepotea?WASHAPOTEA HAO HAWANA HIT SONGS KAMA ZAMANI HATA MTOTO MDOGO ANAIMBA