Diamond Platnumz amchana Ali Kiba kwenye Fresh remix - Fidq ft Rayvany

Hahahahaha Mond shenzi sana aisee waache walale tu wape na shuka

Sent From Heaven
 
Kashapanic Huyo Mondi.

Kutoa ngoma tatu mfululizo na zikabuma haya ndiyo matokeo yake.

Kesho atajipeleka Clouds na kuanza kulialia oh Ali ni braza yangu, sina beef naye na bla bla kibao.

Kiba piga kimya. Usimjibu huyu dogo. Mambo haya ya malumbano ya kitoto nilifikiri yameisha!
 
Mondi bin laden


Hahahaaaa bado waendeleee. Kusubir ashuke kumbe wanavypmchukia,mwenzao ni maanabadp anakua ana trend mitandaoni tu
Anatrend kwa kiki za kuforce maana hapo kamuimba kiba ili kiki za insta zianze and am sure na hili la hamisa ye ndo director mpaka aliwatumia mamake na dadake ionekane wameenda kumuona hamisa hospital wakawashirikisha hadi shilawadu, pls team domo just admit kwamba domo anatrend sana kwasababu ya kiki tena ambazo anazitengeneza mwenyewe kwa maksudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amekuwa disparate mpaka anatafuta kiki kwa nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alieachiwa kiti kalala Mara nyingi yupo Mombasa anafaidi dushe la mwenyeji wake. Weekend anafuata mtalimbo.
 
Hahahahahah swal wana force tuwe sare sare....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…