Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we mwanamke umefata nn kwenye mabishano ya wanaume?[emoji7] [emoji7] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hivi mnajisikiaje kubishana kuhusu hawa jamaa?
Tena ukiwa mwanaume. Unajibishana na mwanaume mwenzako hadi matusi kisa mwanaume staa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni me au ke....?Please mwenye nayo ani whatsapie 0625 687 287
HAAHA WA ZEE WA FURSA KAMA KAWAIDA KUNYAPIA NYAPIAWewe ni me au ke....?
Anatrend kwa kiki za kuforce maana hapo kamuimba kiba ili kiki za insta zianze and am sure na hili la hamisa ye ndo director mpaka aliwatumia mamake na dadake ionekane wameenda kumuona hamisa hospital wakawashirikisha hadi shilawadu, pls team domo just admit kwamba domo anatrend sana kwasababu ya kiki tena ambazo anazitengeneza mwenyewe kwa maksudiMondi bin laden
Hahahaaaa bado waendeleee. Kusubir ashuke kumbe wanavypmchukia,mwenzao ni maanabadp anakua ana trend mitandaoni tu
Ndo mana nampendaga kiba hanaga uswahili wa kipuuzi, yaan ingekuw kiba naye ana maneno ya kwenye kanga kama domo sipati picha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amekuwa disparate mpaka anatafuta kiki kwa nguvuKashapanic Huyo Mondi.
Kutoa ngoma tatu mfululizo na zikabuma haya ndiyo matokeo yake.
Kesho atajipeleka Clouds na kuanza kulialia oh Ali ni braza yangu, sina beef naye na bla bla kibao.
Kiba piga kimya. Usimjibu huyu dogo. Mambo haya ya malumbano ya kitoto nilifikiri yameisha!
Pambana na hali yakoNa hakuna cha maana humo zaidi ya vijembe tu. Bora msinunue kwanza muda si mrefu itatapakaa pote.
Nitumie mb za 500, nikutumie audio Whatsap...Fanya hima mkuuPlease mwenye nayo ani whatsapie 0625 687 287
Diamond kangusha ngoma mpya akiwa ameshirikishwa na fidq na Rayvany
Humo ndani wote wamechana huku diamond akizungumzia baadhi ya story zinazo trend kitaani juu yake
Unaweza kuusiliza hapa
Sent using Jamii Forums mobile app