Diamond Platnumz ameshindikana

Diamond Platnumz ameshindikana

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Kwa alichokifanya jana hapa Zanzibar ama kwa hakika wasanii wengine bado wana safari ndefu ya kujifunza toka kwa Diamond Platnumz aka Simba.

Kapiga show ndefu, show ya live na vibe kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa show.

Umati alokusanya ni historia Kendwa haijawai tokea.

Yani fullmoon party imegeuka kuwa Diamonds weekend.

Salute sana Simba unatupa heshma vijana wa Kitanzania.

Hata tusipo sema sasa watoto wetu watakuja kuyazungumza maajabu yako.
 
Dai ni reincarnation ya Michael Jackson
giphy.gif
 
Back
Top Bottom