Diamond Platnumz ameshindikana

Diamond Platnumz ameshindikana

Kwa alichokifanya jana hapa Zanzibar ama kwa hakika wasanii wengine bado wana safari ndefu ya kujifunza toka kwa Diamond Platnumz aka Simba.

Kapiga show ndefu, show ya live na vibe kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa show.

Umati alokusanya ni historia Kendwa haijawai tokea.

Yani fullmoon party imegeuka kuwa Diamonds weekend.

Salute sana Simba unatupa heshma vijana wa Kitanzania.

Hata tusipo sema sasa watoto wetu watakuja kuyazungumza maajabu yako.
Hajawaambia mikono juu.... kulia ....kushoto ....kulia ......kushoto?
 
Dai ni reincarnation ya Michael Jackson
giphy.gif
Michael nani? acha dharau basi
 
Hajawaambia mikono juu.... kulia ....kushoto ....kulia ......kushoto?
Waliinua mikono juu kabla hajawaambia.

Pia mashabiki wa hizi show ndio namna yao ya kupata mizuka kuweka mikono juu. Sielewi kwa nini ili suala linawaumiza kichwa nyie mashabiki wa msondo na taarab.
 
Back
Top Bottom