sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Na wewe ndio unaamini hivyo..hizi dini zimejaa wanafiki watupu.Zanzibar si nchi ya kidini,sasa hii miziki ya kisheitwain inakuwaje ndugu yangu
Dini zinazolazimisha kuchapa watu bakora kisa wamekula hadharani wakati wa mfung0?Zanzibar si nchi ya kidini,sasa hii miziki ya kisheitwain inakuwaje ndugu yangu
Chawa kama chawa vipi ungependa kumzalia dume au mwali?
Tuachieni Zanzibar yetu wakuu....Zanzibar si nchi ya kidini,sasa hii miziki ya kisheitwain inakuwaje ndugu yangu
Yupi michael og yule aliefufuliwa na zumarid au huyu.yule mungu wa mwanza chenga sanaDai ni reincarnation ya Michael Jackson
Watu wanapiga show Saudi Arabia sembuse hapo zenji.Zanzibar si nchi ya kidini,sasa hii miziki ya kisheitwain inakuwaje ndugu yangu
Kama mnapokea misikiti ya mapato ya muziki kwan shida niniZanzibar si nchi ya kidini,sasa hii miziki ya kisheitwain inakuwaje ndugu yangu
Dah! Yaan MJ unajaribu kumlinganisha na vitu vya ki.....Dai ni reincarnation ya Michael Jackson
Kabisa nakubali mtaalamDai ni reincarnation ya Michael Jackson
Dai ni reincarnation ya Michael Jackson