Hajawaambia mikono juu.... kulia ....kushoto ....kulia ......kushoto?Kwa alichokifanya jana hapa Zanzibar ama kwa hakika wasanii wengine bado wana safari ndefu ya kujifunza toka kwa Diamond Platnumz aka Simba.
Kapiga show ndefu, show ya live na vibe kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa show.
Umati alokusanya ni historia Kendwa haijawai tokea.
Yani fullmoon party imegeuka kuwa Diamonds weekend.
Salute sana Simba unatupa heshma vijana wa Kitanzania.
Hata tusipo sema sasa watoto wetu watakuja kuyazungumza maajabu yako.
Michael nani? acha dharau basiDai ni reincarnation ya Michael Jackson
Ni sawa na kusema Mayele ni reincarnation ya Ronaldo.Dai ni reincarnation ya Michael Jackson
Hii mi nilijua tu mapoyoyo wanapigwa peupe.Binafsi nimeuzunika sana baada ya kupost cruise alafu mwisho wa siku watu wakasafiri na kaboti cha kawaida huo ni wizi aliofanya kupitia title yake aisee..
View attachment 2353461View attachment 2353465
Hahaha nimecheka kicenge walahi[emoji1]Yupi michael og yule aliefufuliwa na zumarid au huyu.yule mungu wa mwanza chenga sana
Ukiamua kula nguruwe usijifiche .. Tukana kwa raha zako Lakini Diamond atabaki kuwa diamond kama jina lake lilivyo.. Always learn from the best Kama huna roho ya korosho na kama wewe sio hater.. Dai is above next levelDah! Yaan MJ unajaribu kumlinganisha na vitu vya ki.....
Au Basi!
Ni haki yao kabisa maana maisha bila ushindani hayanogiMkuu,
Soon wanakuja team ya upande wa pili kwa mfalme wa tabata!
Waafrika tunapenda kujidharau sana.. Utumwa umetuhari mnoMichael nani? acha dharau basi
Sija dharau lkn MJ ni huyu wa thriller umlinganishe na Diamond? hivi Diamond amefika hata nusu ya Akon?Waafrika tunapenda kujidharau sana.. Utumwa umetuhari mno
Waliinua mikono juu kabla hajawaambia.Hajawaambia mikono juu.... kulia ....kushoto ....kulia ......kushoto?
π₯π₯π₯π₯π₯dude hili #kolokolo
Mzee hongereni kwa show ya kwenye boti, vp ulikuwepo lkn[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hebu tuanzie pale Basta Rhymes alivyomuita Diamond kuwa ni Michael Jackson wa AfricaSija dharau lkn MJ ni huyu wa thriller umlinganishe na Diamond? hivi Diamond amefika hata nusu ya Akon?
Na wewe uka amini?Hebu tuanzie pale Basta Rhymes alivyomuita Diamond kuwa ni Michael Jackson wa Africa
Hii ngoma ameuwa sana verse na melodydude hili #kolokolo
Bei ilikuwa ni 150,000 kwenda na kurudiHii mi nilijua tu mapoyoyo wanapigwa peupe.
Ulizia bei sasa maana haikuwekwa wazi
Kaka Mshana ,usimfananishe Dimond na Wacko Jacko tafadhaliDai ni reincarnation ya Michael Jackson
Kuna Reincarnation na kuna kufananisha hivi ni vitu vi wili tofautiSija dharau lkn MJ ni huyu wa thriller umlinganishe na Diamond? hivi Diamond amefika hata nusu ya Akon?