Diamond Platnumz ameshindikana

Ukiamua kula nguruwe usijifiche .. Tukana kwa raha zako Lakini Diamond atabaki kuwa diamond kama jina lake lilivyo.. Always learn from the best Kama huna roho ya korosho na kama wewe sio hater.. Dai is above next level
Sisi ni wale tulioshindikana kwa roho mbaya na kutoamini kama mmoja wetu anaweza kutusua maishani.Hatuwezi kujifunza kwa waliotuzidi,ila tunaweza kuweka bidii na nguvu zetu zooote kuhakikisha wanaanguka na kuwa kama sisi.
kwa mafanikio kupitia muziki hapa kwetu DIAMOND HAFANISHWI NA MSANII YEYOTE YULE KABISAAAA.
Na wala m si shabiki yake
 
Ila binadamu aiseh
 
Na ukiandika haya huchelewi kuitwa chawa[emoji2]
 
Dai ni reincarnation ya Michael Jackson


Bro tunakubaliana kwenye mambo mengi Ila hapa HAPANA 😂😂

Diamond ni East African King Ila Africa hajapewa hiyo title na duniani ni invisible.

Kiufupi hakuna similiarity yoyote kati yao maana ni watu wawili wenye level za kipaji na haiba tofauti kabisaaa 😁😁
 
Kwann wasema dar tu yaheee semaa all the world [emoji289] .

Sema bara uku wajifanya hawajui wkt ndio walaji kuliko nyinyii

Tumswalieee mtumee yaheeeee..
Kabisa Yakheee, all the world hiyo -715 inapatikana....Watu wa Dar wanajifanya sio watumiaji, kumbe ndio walaji wakubwa wa hiyo kitu. Umesema ukweli mtupu Yakheeee.....
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Zanzibar si nchi ya kidini, sasa hii miziki ya kisheitwain inakuwaje ndugu yangu
Ukikaa Zanzibar wiki mojal tu utafuta hii mentality,Zenji ni ka nchi kakiuni kuliko maelezo hakuna cha uislam wala umakunduchi!
 
Ukikaa Zanzibar wiki mojal tu utafuta hii mentality,Zenji ni ka nchi kakiuni kuliko maelezo hakuna cha uislam wala umakunduchi!
ile program yao ya kuzuia wadau wasile ramadhan kwa lazima huwa inasimamiwa effectively ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…