JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Mijitu myeusi duniani na PHD zao(pull him down).Chawa kama chawa vipi ungependa kumzalia dume au mwali?
🤣🤣🤣🤣Ila binadamu aiseh
Karibia zote aisee
Ukiamua kula nguruwe usijifiche .. Tukana kwa raha zako Lakini Diamond atabaki kuwa diamond kama jina lake lilivyo.. Always learn from the best Kama huna roho ya korosho na kama wewe sio hater.. Dai is above next level
Mkuu kwani hapo Mshana Jr ameonesha wapi uchawa?nimejifunza kitu,ili uwe chawa bora mwenye vigezo vya kulipwa vizuri walau elfu 3 kwa siku.lazima uwe above 35yrs.
mwijaku,baba level,h baba,Mshana Jr.
Vipi hii "in the name of Jesus"?Dini zinazolazimisha kuchapa watu bakora kisa wamekula hadharani wakati wa mfung0?
Asubuhi yote hii unapost clip za wachungaji !Vipi hii "in the name of Jesus"?
Kaone hiyo clip ilijibu nini.Asubuhi yote hii unapost clip za wachungaji !
Bila shaka unaupenda sana ukristo.
sawa mwijaku.Msamehe bure nilichojifunza JF wapuuzi hawajibiwi
Chawa maana yake ni mtu ambaye anasifia kila kitu anachofanya mtu bila kujali ni kibaya au kizuri bila hoja yoyote Mshana Jr hasifii mtu ilimradi ana hoja yakufanya amsifie mtu mwingine sema wewe umeshindwa kutafsiri neno chawa kwa maana yako wewe unavyotafsiri inamaana kila mtu ni chawachawa huyo wewe si umemsomea hapa post hii!!!
Ndiyo kwanza bado tupo January lakini Diamond platnumz tayari ameshatoa video bora ya mwaka 2024, kitu gani umekipenda kutoka kwenye hii video ya "yatapita".?Kwa alichokifanya jana hapa Zanzibar ama kwa hakika wasanii wengine bado wana safari ndefu ya kujifunza toka kwa Diamond Platnumz aka Simba.
Kapiga show ndefu, show ya live na vibe kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa show.
Umati alokusanya ni historia Kendwa haijawai tokea.
Yani fullmoon party imegeuka kuwa Diamonds weekend.
Salute sana Simba unatupa heshma vijana wa Kitanzania.
Hata tusipo sema sasa watoto wetu watakuja kuyazungumza maajabu yako.