Diamond Platnumz ameshirikishwa kwenye album mpya ya Alicia Keys

kwanini utumie nguvu kuwaambia watu yeye ni zaidi ya wengine!!!!kwani watu hawaoni!!

angalia uzi comment ya pili na ya tatu wameishaingizwa kiba na kondeboy,mpaka unashangaa!!!!wamefata nini hapa!!!!
basi ngoja tuweke list hivi
1 konde boy
2 Ali kiba
3 Daimond

hapo vipi umefurahi eeh
 
basi ngoja tuweke list hivi
1 konde boy
2 Ali kiba
3 Daimond

hapo vipi umefurahi eeh

siko hapa kufurahi wala kununa ndugu yangu.

tabia ya mond anafanya mambo yake nyinyi wadananda mnakuja kumfanyia benchmark na watu wengine sio fare.
mond kama mond anastahili kusifiwa tu azidi kwenda mbele zaidi.
 
Kiba kashirikishwa na Beyonce sema hapendi kujionyesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
siku mtapojua kiba ametengeneza hit na rihanna ndio mtaona hii habari ni upuuzi
 
Ila Domo kwa hii fame aliyopata ataendela kuwatafuna wadada zetu[emoji1787][emoji1787]
 
kila asiemnafiki hata kama ni hater atampongeza diamond isipokua wanafiki pekee
 

Kufanya show jukwaa moja na msaga sumu haina maana umelipwa nae sawa kumbuka hilo
 
Dah kumbe ally kiba anawafuas wachache Instagram kuliko harmonize? Nmeshangaa Sana leo nlivopita huko
Na akikaa vibaya rayvanny anamchukua
 
Anachanja Mbuga tu πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ

 
Ali Kiba kishaimba na Queen B ila hapendi tu show off πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…