Diamond Platnumz ameshirikishwa kwenye album mpya ya Alicia Keys

Diamond Platnumz ameshirikishwa kwenye album mpya ya Alicia Keys

Hiyo nyimbo ni wasted sperm kama walivyoiita japo kala shavu
 
😂😂😂😂 Mzee una chuki za waziwazi subiri akuimbie harmonize usifie
Sasa ukisema inaonekana chuki mm nnefurahi kuona jamaa kapewa shavu
Ila hiyo wasted sperm haijaeleweka kaimba kidogo mwishoni

We Si chawa wa wcb mzee hahah
 
New member unajifanya unajua jua watu .
Kwahiyo diamond aliperfom kombe la dunia kama alivyosema?
Comment yako inaashiria mambo mawili
1. Hujui unachokiongea.
2. Unajua unachokiongea ila kwa makusudi kabisa umeamua kuonesha ule moyo wa korosho(wivu wa kutopenda maendeleo ya wengine). kuna kundi kubwa Watanzania wana tabia kama hii.
 
Sasa ukisema inaonekana chuki mm nnefurahi kuona jamaa kapewa shavu
Ila hiyo wasted sperm haijaeleweka kaimba kidogo mwishoni

We Si chawa wa wcb mzee hahah
pancho boy Kupewa kipande kidogo haimanishi ndio kuimba vibaya ila umetumiaje hiyo sekunde uliopewa kuimba kwenye wimbo hiko ndio watu wanachopima.Hiko kipande diamond kaitendea haki kwanza kaimba kwa sauti nzuri Melody Kali ndio maana watu wanamsifia na moja Kati ya watu waliguswa Ni patoranking amemsifia Sana hiko kipande alichoimba diamond nashangaa Sana unakuja hapa kuleta uteam wako Mara ya kwanza Nilizani ni mtu ambaye unapenda good music kumbe la hasha!
 
Comment yako inaashiria mambo mawili
1. Hujui unachokiongea.
2. Unajua unachokiongea ila kwa makusudi kabisa umeamua kuonesha ule moyo wa korosho(wivu wa kutopenda maendeleo ya wengine). kuna kundi kubwa Watanzania wana tabia kama hii.
Jick umemaliza kila kitu huyo jamaa atakuwa na agenda nyingine
 
Habari nzuri,

Msanii wetu wa Tanzania Diamond Platnumz atakuwepo kwenye moja ya collabo ilipo kwenye album mpya ya Alicia Keys.

Alicia Keys amethibitisha hivyo kwa kuonesha list ya nyimbo zitazokuwepo kwenye album yake hiyo mpya na moja Kati ya nyimbo ipo aliyomshirikisha Diamond.

Tumekuwa tukizoea baadhi ya Wasanii wa Bongo kama AY na Diamond kufanya collabo na American artist lakini Safari hii Diamond ndio kashirikishwa.

Mbona wale wa kusema freemason hawakomenti leo?
 
Kushirikishwa gani huku????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
pancho boy Kupewa kipande kidogo haimanishi ndio kuimba vibaya ila umetumiaje hiyo sekunde uliopewa kuimba kwenye wimbo hiko ndio watu wanachopima.Hiko kipande diamond kaitendea haki kwanza kaimba kwa sauti nzuri Melody Kali ndio maana watu wanamsifia na moja Kati ya watu waliguswa Ni patoranking amemsifia Sana hiko kipande alichoimba diamond nashangaa Sana unakuja hapa kuleta uteam wako Mara ya kwanza Nilizani ni mtu ambaye unapenda good music kumbe la hasha!
Hunijui bro nadhani wewe ndo hujui muziki mzuri
Am in music industry you know muulize Smart Guy atakwambia vizuri najua tone ipi in nzuri ipi ni mbaya.japo sijasema kaimba vibaya wala vizuri sijui umeona wapi.
Wasanii wa marekani wana dharau sana kwa waafrika refer one dance ya drake alimpomshirikisha wizkid alipewa kakipande kadpgo mwisho .na kwenye video alikataliwa kutokea
Only cris brown pekee ndo hana kunata
Elewa hivyoo tukiacha na kusema kapewa shavu
 
Comment yako inaashiria mambo mawili
1. Hujui unachokiongea.
2. Unajua unachokiongea ila kwa makusudi kabisa umeamua kuonesha ule moyo wa korosho(wivu wa kutopenda maendeleo ya wengine). kuna kundi kubwa Watanzania wana tabia kama hii.
Hunijui nafikiri nna uelewa wa mambo haya muziki more than you think
Unataka tusemeje ikiwa tumeshampongeza tayari? Nimlambe miguu kama innocent dependent ?
 
Yani kasema vimaneno viwili sijui mwishoni kabisaa...dharau hiziiiii!! Alicia Keys mwenyewe ashachokaaa na game
Wamarekan wanadharau kwa waafrika hatari uliona Yale drake aliomfanyia wizkid?
Video zote mbili katema kuwepo
 
Back
Top Bottom