Diamond Platnumz ameshirikishwa kwenye album mpya ya Alicia Keys

Ndo wizkid alimua unfollow falaa yulee...!!!
So wasenge wale wanajikuta kina sijui wakati ni ma black kama sisi wizkid saivi hataki shobo nao wanatuona kama uchafu yaani anakupa kibwagizo mwishon uimbe halafu hata kwenye video usije
Hats hiyo kazi hapromote
Breezy pekee yake ndo yupo fresh
 
Hunijui nafikiri nna uelewa wa mambo haya muziki more than you think
Unataka tusemeje ikiwa tumeshampongeza tayari? Nimlambe miguu kama innocent dependent ?
Kwa comment hii bila shaka hiyo Number mbili inakuhusu. Una moyo wa korosho.

Kwa sababu huna sababu yoyote ya kupanda chuki.
 
Kwa comment hii bila shaka hiyo Number mbili inakuhusu. Una moyo wa korosho.

Kwa sababu huna sababu yoyote ya kupanda chuki.
Hivi hiyo ikwapi ama wewe ndo unaieneza
Siku ukija kujua labda diamond ni bosi wangu utaficha wapi sura
 
Mwisho wa siku kuimba na hawa wamarekani binafsi huwa naona kama tu kutimiza ndogo yako labda ulipenda kufanya kazi na fulani, ila haina manufaa kivile.
Bos hebu icheki tena hii..Anazungumziwa Alicia Keys.

Kuacha mauzo, kumbuka concert za mbele anacheza hizo kolabo za mbele.
 
pancho boy
 
Nadhani hujanielewa vizuri mkuu
 

Halafu huyo keys mwenyewe hayuko juu tena ndio maana inakua rahisi kuwapata. Ingekua beyonce ingekuaje?? Halafu kwenye nyimbo yenyewe kafanya autro au? Kuna nyingine kaua verse kabisa??!! Niyoiskiliza youtube naona ile ni autro.
 
Nnaamin Alicia hata angetaja jina tu diamond platinum kwenye NYIMBO zake still ingekua issue kubwa
Watu hawatak kuelewa
Wengi mna oppose hi issue
Lakini diamond bado diamond na kunameng yakujifunza nje ya Hilo mnalolinanga
 
Kwani hii nyimbo diamond aliyoshirikishwa na huyo Alicia
Kaimba wapi?
 
hata kama patoraking kamsifia ila kaimba vibaya😫😫😫😪
 
usimtetee kwa sababu kasifiwa na patoraking, kiukweli kaimba vibaya😫😫😭😪
 
Mie sio shabiki wa mtu bali ni shabiki wa mziki mzuri. Nachowashangaa wabongo badala tu-move kama Taifa tunaanza kutengana utadhani haya matimu yana msaada ktk maisha yetu. Ndio maana wasanii wote maisha yao yakubangaiza. Wenzetu Uganda hapo wanamuziki wana majumba ya kifahari na magari mazuri na majina yao wala sio makubwa kama wa kwetu. Kansiime tu na pumba zake ana mali ambazo hamna msanii wa maigizo nchini anayemfikia.

Nigeria wasanii wa muziki na filamu wako vizuri sana kiuchumi, sisi tumekaa kushabikia matimu tu na kubaniana kisa huyu sijui Timu Kiba, Timu Konde Boy, Timu Mondy.

Tuacheni huu ujinga na tuwape thamani na deals wanamuziki wetu na sio kuwabania na kuwatenganisha inarudhisha sana nyuma sanaa yetu. Tushindane na nchi za nje, tuone sifa kupeleka wasanii wengi kwenye nomination kama AFRIMMA n.k sio msanii fulani akiinguia kwenye nomination kutoka TZ watu badala ya kumpigia kura kama taifa tunaacha kwa kuwa sio timu yake au unampigia wa nje ili wetu asishinde na pia hao kina Konde, Mondy na Kiba wajaribu kushirikiana kutoa nyimbo ambazo zitaishika Africa nzima na dunia. Wasiangalie ushindani huu wa ki-Simba na Yanga ambao hauna faida na unaowanufaisha watu wa nje.

Kuna wajinga ndio wameshikilia sanaa ya Bongo na ndio wanaleta hizi bifu. Ni muda wenye akili kuwekeza huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…