Ni kweli hastahili kupewa chochote na hajui kuimba na zaidi ni maskin hivyo angepokea tu Dola 250,000.Ulitaka apewe kiasi gani na kwa kipi hasa anachoimba?
Tunaomba ushahidi wa picha ya mkataba sinza pazuri tusaidie kutufikishia ombi letu la nakala ya mkataba basi. ππ
π€£Ni kweli hastahili kupewa chochote na hajui kuimba na zaidi ni maskin hivyo angepokea tu Dola 250,000.
Sasa mkuu hela za kununua roll Royce, kuwekeza kwenye media na biashara zingine Kama sabuni n.k wewe unazani hela anapata wapi?Uongo mtupu
We ungekataa mkuu au value yako ndogo?Kama kweli alikataa $250,000 ni kweli anafahamu value yake.
Mwamba hapa alicheza karata zake vyema...ila mkuu unaionaje lebo ya roc nation ? Najiuliza atlantic watakua wanaangalia ushawishi mkubwa wa mwanamuziki au sijui wanaangalia nini Hadi wakufuate najiuliza why hawajamuona ayra star Hadi ameenda roc nation ambayo mim naona ni label flan Haina nguvu Zaid ya jina la jay z tu...Burna Boy alisaini full record deal na Atlantic Records (Warner) mwaka 2017. Baada ya hapo, alitoka kwenye Spaceship kama lebo yake ya kwanza, na kujiunga fully na Atlantic kwa global reach. Hii ndio deal iliyomsukuma hadi kushinda Grammy, kujaza London na Tottenham hospers Stadium back to back, kuingia top 20 album kwenye chati ya Billboard 200 na kupata number 1 album kwenye UK album's chart.
Si kweli. Umewahi ona Warner wanawawatangaza wasanii wengine zaidi ya Mond kwenye page zao?Sio mbaya kama mtafutaji, japo ali sign mkataba unao husisha wwasanii wote wa wcb.
Ukitaka kupiga pesa kubali kula na wengine. Ukitaka ubaki ulipo kuwa mbinafsi kumbatia vya kwako na mawazo yako baki nayo.Wakati wamarekani wenyewe wanapambana kuwa independent artists wamatumbi mnataka muwe signed under. Mmerogwa?
Ali Kiba, Ommy Dimpoz, V Mdee, Lunya walisainiwa waliishiwa wapi? For the most part ilikua ndo mwanzo wa mwisho wao. D'banj wa Nigeria alikua under Good Music ya Kanye for a hot minute aliishia wapi? Naye anguko lake lilianza hapo. Lunya bado yupo under Sony nani anamsikia tena Lunya siku hizi?
Hii mikataba sio hisani. Hakuna free money kila mtu anawaza kukupiga. Nani anampa Mondi offer ya 250k kama sio ujuha? If anything, ningesema wakae nayo mbali.
Ukitaka kupiga pesa kubali kula na wengine. Ukitaka ubaki ulipo kuwa mbinafsi kumbatia vya kwako na mawazo yako baki nayo.
Ukitaka kupiga pesa lazima ule na wengine. Ukitaka kwenda duniani lazima uwatafute wanaojua njia za kupita pia Ili ufanikiwe lazima ujue thamani yako itakayokusaidia kufanya makubaliano ya kimkataba yenye faida upande wako. Haya mambo huwezi yakwepa.Kiba, V Mdee, Lunya, Ommy D, D'banj walipiga pesa zp?
Ukitaka kupiga pesa lazima ule na wengine. Ukitaka kwenda duniani lazima uwatafute wanaojua njia za kupita pia Ili ufanikiwe lazima ujue thamani yako itakayokusaidia kufanya makubaliano ya kimkataba yenye faida upande wako. Haya mambo huwezi yakwepa.
Waulize watakupatia majibuHao niliokutajia walifeli wapi maana walisajiliwa na hizo so called international labels? Swali langu rahisi tu ila unazunguka kujibu.
Sasa mkuu hela za kununua roll Royce, kuwekeza kwenye media na biashara zingine Kama sabuni n.k wewe unazani hela anapata wapi?
Kwahilo dau nisingetoboa.We ungekataa mkuu au value yako ndogo?