Tetesi: Diamond Platnumz ampeleka Ommy Dimpoz polisi

kumtukana mzazi wa mwenzio ni ukosefu wa adabu na sio maadili yetu ya kitanzania na ahta kuna faragha waliifanya haipaswi kuweka hadharani
 
Hahaha imemuuma Diamond hadi amekimbilia kwa kamanda Mambosasa.

Hamna kesi hapo, siri ya chumbani hiyo.
 
Japo Ommy alipitiliza kwa kumsema vibaya mzazi wa Diamond, ila angeacha lipite maana ugomvi aliuanzisha yeye.
What if naye akimshataki kwa kumwita shoga?
Ukianzisha ngumi ukapigwa panga la kalio usilalamike maana hatupangiani silaha
 
Tatizo la Domo ni selfish, hataki wala hapendi azungumziwe mtu mwingine kwenye industry ya mziki
 
Hao wanaomponda Dai kisa kamfungulia kesi ya udhalilishaji Ommy Dimpozi naona hawana akili timamu.

Bahati nzuri polisi huwa wanasikiliza pande zote mbili bila ya ubaguzi.

Hao wanaodai Dai alikuwa anawatukana kwa nini na wao wasifungue kesi kama ushahidi wanao?

Namuunga mkono Diamond ,amshikishe adabu huyo dimpozi.
 
Jamani nijuavyo hakuna Mahali Diamond Kamtaja Jina Mtu. Ila kupost maneno machafu na picha ya mama wa mtu aisee....
Halafu watu wanampiga Tundu Lisu risasi wakati kuna hawa wanaachwa achwa tuu wanasavaivu!
 
Madhara ya kuendekeza kiki....

Wapumbavu wote..
 
Kumuingiza MAMA ktk kiki na maugomvi a ya kijinga...ilikua extreme.

Lakini kila siku tunasemahapa.

ELIMU ELIMU ELIMU......
 
Hongera mkuu maana naona umechambua tu comments zinazomponda D Platnumz
 

Sasa akimpeleka huko Polisi ndiyo kutaondoa ile ' kumbukumbu ' kwamba Ommy Dimpoz ' alitiririka ' na ' kuserereka ' Kibaiolojia na ' Mazeri ' wake Ndomo?
 
kwani kuna kosa gani dimpoz kafanya?kama kamgonga kweli sandra kuna ubaya gani?angekuwa amebakwa hapo sawa na kiuhalisia dimpoz hawezi kumsingizia yule mama, mama kataka dude na mauno kakata afu mtoto analeta mdomo wake mchafu
 
HAKUNA ASIEJUA KAMA OMMY DIMPOZ NI SHOGA.NA KAMA HUJUI BASI SUBIRI SIKU AINGIE KWENYE 18 ZA MANGE.KUNA PICHA NA FULL VIDEO ZA OMMY AKILIWA KIBOGA UK.
Maadili ya jamii forum hayaruhusu video hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…