Tetesi: Diamond Platnumz ampeleka Ommy Dimpoz polisi

Tetesi: Diamond Platnumz ampeleka Ommy Dimpoz polisi

Wote mnaomponda Diamond.. mnawivu juu yake hakuna lingine. Au jaribuni kukumbwa na rafiki yako amseme hivyo baba au mama yako na picha juu.
 
Duh what if Ommy akikomaa alimla bi mdashi wa Mond?[emoji23][emoji23][emoji23] anatafuta kudharaulika tu bora angevunga kuna watu hawajazaliwa ila wamejambwa na mbele ya wanasema kweli NIMEMLA.
 
Hahahaha sasa mond hataki mama yake apate baby jamaniiii Bi Sandra na ye binaadamuuuu ana tamanigi ile kitu pendwaaa mond bwana angevunga tu sasa Ommy akidhibitisha alisha toka na mama Dai atafanya je?
 
Kumuingiza mama wa watu kwenye bifu za kijinga ni ujuha ngoja anyooshwe
Angedeal na Daimond na ss mama au kwa mama ake marehem ngona akomeshwe
 
Vipi mkuu? Au na wewe ni mmoja wa watu waliokuwa wanachokoza wenzao shuleni halafu wakipigwa wanaenda kusemelea kwa 'mama'?
Hapana mkuu mie wala sikuwa mchokozi na nlikuwa namaliza majanga yangu bila kushirikisha third party.
 
Sasa hii adabubya wapi kushitaki step father wake? Mpenzi wa mama ni baba yako tu hata mkiwa sawa kiumri
 
kwani kuna kosa gani dimpoz kafanya?kama kamgonga kweli sandra kuna ubaya gani?angekuwa amebakwa hapo sawa na kiuhalisia dimpoz hawezi kumsingizia yule mama, mama kataka dude na mauno kakata afu mtoto analeta mdomo wake mchafu
Mi nashangaa ,inawezekana mama ni mpweke alihitaji kampani kumoyo na kumwili so O.D akafanya u gentleman kamsaidia mama kuondoa machungu ya kuachwa mpweke na Mzee Platinum Senior kwa muda mrefu wa usichana wake .wacha mama akumbushe bata la ujana in style na D.P akubali matokeo amwite tu OD father na matqulo ayanunue mdingi wake avae na mama waogeshane!
 
HAKUNA ASIEJUA KAMA OMMY DIMPOZ NI SHOGA.NA KAMA HUJUI BASI SUBIRI SIKU AINGIE KWENYE 18 ZA MANGE.KUNA PICHA NA FULL VIDEO ZA OMMY AKILIWA KIBOGA UK.
Maadili ya jamii forum hayaruhusu video hizi
Yay hata kwa whatsapp basi mkuu tuone vishimo shavu akiliwa jicho!
 
Wote mnaomponda Diamond.. mnawivu juu yake hakuna lingine. Au jaribuni kukumbwa na rafiki yako amseme hivyo baba au mama yako na picha juu.
Hoja ya msingi huyo mzazi kaliwa au hajaliwa?mtu mpaka afanye ujinga huo basi ujue na huyo mzazi mwenyewe akili na personality yake ni tia maji tia maji!
 
Omy ni mkuda kweli ugomvi ulikuwa kati yake na mondi hivyo yeye kumdhihaki mama wa diamond tena kwa kupost picha na kuandika maneno ya kashfa moja kwa moja ana kesi ya jinai kutokana na sheria mpya ya mitandao ya kijamii.Mondi hakumtaja mtu jina wala kupost picha hivyo hakuna ushahid apo
 
HAKUNA ASIEJUA KAMA OMMY DIMPOZ NI SHOGA.NA KAMA HUJUI BASI SUBIRI SIKU AINGIE KWENYE 18 ZA MANGE.KUNA PICHA NA FULL VIDEO ZA OMMY AKILIWA KIBOGA UK.
Maadili ya jamii forum hayaruhusu video hizi
We ukiangalia tu picha zake anaringishia dimpoz, anapaka lipshine, anaweka viua Snapchat na smile lake ka demi mfyuuuu. .
Dimpoz hana marinda kabisa
 
We ukiangalia tu picha zake anaringishia dimpoz, anapaka lipshine, anaweka viua Snapchat na smile lake ka demi mfyuuuu. .
Dimpoz hana marinda kabisa
Yule kijana wala hauhitaji torch kujua kama "anawashwa"
 
[emoji23][emoji23][emoji23]...Ommy sukari ya mabibi [emoji134][emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom