Diamond Platnumz amtetemesha Didier Drogba Kwenye Birthday Yake {VIDEO}

Diamond Platnumz amtetemesha Didier Drogba Kwenye Birthday Yake {VIDEO}

Kwetu Masaki

Member
Joined
Mar 10, 2019
Posts
8
Reaction score
13
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa WCB Diamond Platnumz akiwa chini Ufaransa ameweza kufanya tukio kubwa sana la Kuperfom wimbo wa TETEMA kwenye birthday ya aliyewahi kuwa mchezaji wa Chelsea Didier Drogba
 

Attachments

KONK KONK moto WCB EMPIRE


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huo wimbo ungependeza kama angeimba kwenye b day ya Maradona maana yeye ndiye tipwatipwa kwa sasa.

Ila yote ya yote Diamond nyota yake iko mbali sanaaaaaaaaaaaaa kwa hapa nchini hana mpinzani katika muziki.

katika muziki gani?'dansi?'taarabu?'za kanisani?'

acha mahaba wewe
 
Na kwa kutafuta sifa tuu hiii show diamond ndo kalipia ili apafomu kwenye bethdei ya drogba.
 
Back
Top Bottom