BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Huo ndiyo ukweli Mkuu, pamoja na baadhi ya Watanzania kuwa na chuki za kutisha kwa huyu lakini milango ya neema bado inamfungukia tu.
Huo wimbo ungependeza kama angeimba kwenye b day ya Maradona maana yeye ndiye tipwatipwa kwa sasa.
Ila yote ya yote Diamond nyota yake iko mbali sanaaaaaaaaaaaaa kwa hapa nchini hana mpinzani katika muziki.