Diamond Platnumz amtetemesha Didier Drogba Kwenye Birthday Yake {VIDEO}

Diamond Platnumz amtetemesha Didier Drogba Kwenye Birthday Yake {VIDEO}

Huo ndiyo ukweli Mkuu, pamoja na baadhi ya Watanzania kuwa na chuki za kutisha kwa huyu lakini milango ya neema bado inamfungukia tu.

Huo wimbo ungependeza kama angeimba kwenye b day ya Maradona maana yeye ndiye tipwatipwa kwa sasa.

Ila yote ya yote Diamond nyota yake iko mbali sanaaaaaaaaaaaaa kwa hapa nchini hana mpinzani katika muziki.
 
Huo ndiyo ukweli Mkuu, pamoja na baadhi ya Watanzania kuwa na chuki za kutisha kwa huyu lakini milango ya neema bado inamfungukia tu.
Kila mtu ni shahidi katika hili. Tukitazama alipokuwa awali na alipo kwa sasa ni wazi jamaa ame-shine sana.
 
Yaani waswahili kwa kukuza vitu. Mbona hapo ni kama geto tu, kijana yupo juu lakini mleta mada umeikuza ka show za akina MJ au Madona enzi zile. Hapo hata sauti ya Diamond inasikika na mikwaruzo so it was just fun lakini si bonge la performance.
 
Back
Top Bottom