Kwetu Masaki
Member
- Mar 10, 2019
- 8
- 13
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli, tena aliimba wimbo wa 'Mwambie sina'Ali Kiba ashaimba kwenye birthday ya Messi na wala hatujaona show off kama za huyu jamaa.
Haa ha..kweli mkuu?????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli, tena aliimba wimbo wa 'Mwambie sina'
Au ulimaanisha alipaform police messi.Ali Kiba ashaimba kwenye birthday ya Messi na wala hatujaona show off kama za huyu jamaa.
Ali Kiba ashaimba kwenye birthday ya Messi na wala hatujaona show off kama za huyu jamaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli, tena aliimba wimbo wa 'Mwambie sina'
Huo wimbo ungependeza kama angeimba kwenye b day ya Maradona maana yeye ndiye tipwatipwa kwa sasa.
Ila yote ya yote Diamond nyota yake iko mbali sanaaaaaaaaaaaaa kwa hapa nchini hana mpinzani katika muziki.
Acha roho ya mama yako hiyo wewe digidigi. Kama huoni anachofanya nyamaza hulazimishwi ukubali anachofanya.katika muziki gani?'dansi?'taarabu?'za kanisani?'
acha mahaba wewe
Acha roho ya mama yako hiyo wewe digidigi. Kama huoni anachofanya nyamaza hulazimishwi ukubali anachofanya.
Kwani hujui anafanya muziki gani?unameza maneno yako
muzik ni mpana ndugu yangu
umenichekesha neno digidigi
Kwani hujui anafanya muziki gani?
Sawa siyo lazima awe juu.hata kwa muziki anaoufanya
hayuko juu