Diamond Platnumz amuarika Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli kwenye show yake uwanja wa taifa.

Diamond Platnumz amuarika Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli kwenye show yake uwanja wa taifa.

Siku ya usalama......barabarani....
 
Nakuheshimu jifunze kuwa mstaharabu Mtume wetu hakuwa na haraka ya kutoa matusi hivyo.
Mtume Ni kiigizo chema Ulimwenguni.
Pardon me!

= mstaarabu

Kukuuliza "amuharika ndiyo nini?" Ni Matusi hayo kwa "mtume" wenu?

Punguani wahed.
 
Kama kweli Mh. rais ataitikia wito huu atakuwa na matatizo ya akili. Mtu mzima (sizungumzii mtu govi/Muhaya) kwenda kuangalia sarakasi za kitoto na muziki wa karaoke ni ujinga tu na upotezaji muda.
 
Kama nakuona vile mstari wa mbele ukisererebuka sisiemu mbele kwa mbele.....!
Hakuna kitu sikipendi katika maisha yangu kama ccm... Weka bomu na ccm nachagua bomu, bomu linaweza kulipuka nikanusurika lakini sio ccm

Send by Nokia 3310 from mbalizi-mbeya
 
Hali mbaya ndio wapo nusu ya kampeni.
 
ccf8f46cfa3fb732acbb8c553cf29bd3.jpg

@DiamondKaranga pakiti moja shilingi Mia hiizi...
LADIES AND GENTLEMEN JUS WANTED TO LET YOU KNOW THAT'''
TAREHE 05/08/2017 PALE TAIFA MGENI RASMI ATAKUWA MKUU WA NCHI THE MAIN MAN, MR PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI....NAAMINI MPAKA SASA HUNA TENA WASIWASI JUU YA SWALA LA USALAMA...NASEMAJE [HASHTAG]#TWENZETUTAIFA[/HASHTAG] KIINGILIO BUREE!!!
Diamond Platnumz said.
TUMWACHE kijana apige pesa mda wake ndo huu,mi niko very happy kwa anayojishughulisha nayo ni bampa to bampa
 
Back
Top Bottom