my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Huyu bwana wa kuiga iga hakimpiti kitu 😂 ati na yeye ameamua kudunduliza vindevu vyake ili awe kama Rick Ross ( rich forever). Basi kwa vile anafuga vindevu mda si mrefu ataanza kujitangaza amekua tajiri zaidi ya Bill Gates 👀
Picha ya chini ni Diamond Platnumz akiwa na muonekano mpya wa kirich forever
Picha za chini ni rich forever akiwa na mwanamitindo hamisa mobetto huko dubai
Picha ya chini ni Diamond Platnumz akiwa na muonekano mpya wa kirich forever
Picha za chini ni rich forever akiwa na mwanamitindo hamisa mobetto huko dubai