Diamond Platnumz amuiga Rick Ross kufuga ndevu

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Huyu bwana wa kuiga iga hakimpiti kitu πŸ˜‚ ati na yeye ameamua kudunduliza vindevu vyake ili awe kama Rick Ross ( rich forever). Basi kwa vile anafuga vindevu mda si mrefu ataanza kujitangaza amekua tajiri zaidi ya Bill Gates πŸ‘€

Picha ya chini ni Diamond Platnumz akiwa na muonekano mpya wa kirich forever





Picha za chini ni rich forever akiwa na mwanamitindo hamisa mobetto huko dubai
 
nadhani mabutu yalimpendeza zaidi kuliko hivi virasi vimekaa vibaya.
 
Huyu Rick mbona kakondeana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…