Diamond Platnumz amuiga Rick Ross kufuga ndevu

Style yake ya sasa kuanzia kichwani na ndevu havimpendezi kabisa
 
Ila mond anasura mbaya nomaa hahaha yani mbaya na midevu hiy yan m baya sana kufanana na Braza wake hapa[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Diamond platnumz nasikia gari limewaka. Dar es salaam sio sehemu nzuri ya kuwa na pesa, lazima uharibu tu. Kama unabisha niulize mimi
Kashaanza kuwa mjunki naeπŸ˜… anasniff ngano?
 
hivi huyu jamaa ana umri gani?au amevalishwa rusa ya uzee na wachawi?
Huyu jamaa mpaka sasa hatuelewi anaumri gani? Ila kwa kukadili kwenye sitini hivi au 30 kwakweli hatyumuelew ngoja tumuulize kwanza nape mana walicheza wote [emoji12][emoji12][emoji12]
 
Mkuu mwanaume sura nzuri ya kazi gani ? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dah mkuu hata kama ila mond wa sasa kanyata sana urafikir hana hela sura ngumu tuwe nazo kama sis wabeba zege mkaa nk mana kipato hakiruhusu had yy[emoji14][emoji14][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…