Mlatino Zeshalo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,130 Reaction score 3,599 Feb 13, 2022 #41 Yan huyo rapper wa kimarekani ni mbuzi kabisa. Demu limeliwa hovyo bongo eti nae anatamba. Kiazi tu. Ndo maana limekondeana ghafla
Yan huyo rapper wa kimarekani ni mbuzi kabisa. Demu limeliwa hovyo bongo eti nae anatamba. Kiazi tu. Ndo maana limekondeana ghafla
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Feb 13, 2022 #42 chapwa24 said: Yaani domo huwa simkubali mno. manyimbo yake yameharibu hadi vichwa vya watoto, ushetani tu. Click to expand... Watoto wanasikilizaga wakiwa wapi nyumbani au kitaa ,yaleyale kizazi Cha 2pac mtu mguu mbovu mfupi anabalans kwakudunda dunia zima kizaZi chake walitembea wanadunda
chapwa24 said: Yaani domo huwa simkubali mno. manyimbo yake yameharibu hadi vichwa vya watoto, ushetani tu. Click to expand... Watoto wanasikilizaga wakiwa wapi nyumbani au kitaa ,yaleyale kizazi Cha 2pac mtu mguu mbovu mfupi anabalans kwakudunda dunia zima kizaZi chake walitembea wanadunda