Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,644
- 20,009
Kila la heri Zao ila yajayo yanafurahisha
Hakuna ndoa hapo ni maigizo tu kutoka juu ya kututoa kwenye reli tuendelee kushikilia hapohapo.Wakuu
Huu mbona kama ni mkakati hivi wa kutaka kututoa kwenye Reli?
Msanii wa Bongo Fleva, Nadeem Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz amemuoa mpenzi wake wa muda mrefu Zuhura Othman Soud maarufu Zuchu. Msanii wa lebo yake WCB Wasafi.
Ndoa hiyo imeibuka katikati mjadala mkali baada ya Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kulaani vikali vitendo vya utekaji vinavyoripotiwa kuendelea nchini Tanzania
View attachment 3353120
View attachment 3353121
huyu si anaoa kila jioni?Wakuu
Huu mbona kama ni mkakati hivi wa kutaka kututoa kwenye Reli?
Msanii wa Bongo Fleva, Nadeem Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz amemuoa mpenzi wake wa muda mrefu Zuhura Othman Soud maarufu Zuchu. Msanii wa lebo yake WCB Wasafi.
Ndoa hiyo imeibuka katikati mjadala mkali baada ya Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kulaani vikali vitendo vya utekaji vinavyoripotiwa kuendelea nchini Tanzania
View attachment 3353120
View attachment 3353121
Tofautisha Ndoa na Harusi! Ukikaa na Waislam, usishangae saa 6 mchana umemwacha shoga yako Fatuma akiwa ni girlfriend tu wa Dullar, unarudi saa 7 unaambiwa Fatuma ni Mke Halali wa Dulla, na wala sio ndoa ya mkeka! Na kila ukichunguza hapo kwao kila kitu kipo kama ulivyokiacha wakati unatoka!! Usi-bet "haiwezekani", utapoteza!Kwanza muongo muongo halaf ndoa gani ile jaman mtoto wa watu hata kasherehe kadogo hakuna ndio maana zuchu hanaga raha
Lakin kwa hadhi ya diamond ilibidi afanye hata sherehe ili zuu afurahie na waende honeymoon bana ,wanaofanya hivyo hawana uwezo ni chai maandaziTofautisha Ndoa na Harusi! Ukikaa na Waislam, usishangae saa 6 mchana umemwacha shoga yako Fatuma akiwa ni girlfriend tu wa Dullar, unarudi saa 7 unaambiwa Fatuma ni Mke Halali wa Dulla, na wala sio ndoa ya mkeka! Na kila ukichunguza hapo kwao kila kitu kipo kama ulivyokiacha wakati unatoka!! Usi-bet "haiwezekani", utapoteza!
Kwa Waislamu ndoa hazina mbwembwe, na ukiona mbwembwe basi wameunganisha ndoa na harusi! Keep this post, hicho unachokisema utakiona!Lakin kwa hadhi ya diamond ilibidi afanye hata sherehe ili zuu afurahie na waende honeymoon bana ,wanaofanya hivyo hawana uwezo ni chai maandazi
HujanielewaKwa Waislamu ndoa hazina mbwembwe, na ukiona mbwembwe basi wameunganisha ndoa na harusi! Keep this post, hicho unachokisema utakiona!
Nimekuelewa vizuri sana! Kuna watu wanaunganisha ndoa na harusi na wengine wanafunga ndoa kwanza kisha inafuata harusi! Hoja yako ni kwamba, hata kama ndoa huwa hazina mbwembwe basi kwa hadhi ya Diamond na Zuchu basi wangefanya angalau kwa mbaaaaali kitu ambacho kingevuta attention!Hujanielewa
💯 na pia ili Zuu afurah sio kuolewa kama mwizi mtu ndoa ya kwanza jamanNimekuelewa vizuri sana! Kuna watu wanaunganisha ndoa na harusi na wengine wanafunga ndoa kwanza kisha inafuata harusi! Hoja yako ni kwamba, hata kama ndoa huwa hazina mbwembwe basi kwa hadhi ya Diamond na Zuchu basi wangefanya angalau kwa mbaaaaali kitu ambacho kingevuta attention!