Diamond Platnumz amuoa Zuchu. Ni mpango wa kuuzima moto wa Askofu Gwajima?

Fucking cheap politics. Lakin huwez Amin Kuna watu watafatilia na kuliongelea hili wiki nzima angalau moto wa uamsho upoe...

NB: hakuna ndoa hapo usanii mtupu.
 
Hakuna ndoa hapo ni maigizo tu kutoka juu ya kututoa kwenye reli tuendelee kushikilia hapohapo.
No reform no election ⚒️ 💯
 
Watu hawana habari naooo

Asilimia kubwa ilikiwa bize kisutu huko

Ova
 
huyu si anaoa kila jioni?
 
BADALA YA KUJIBU HOJA ZA UTEKAJI ZA GWAKIMA.
WAO WAMEPANGA "HARUSI HEWA" KUFIFISHA HOJA ZA GWAJIMA.
AIBU!
 
Kwanza muongo muongo halaf ndoa gani ile jaman mtoto wa watu hata kasherehe kadogo hakuna ndio maana zuchu hanaga raha
Tofautisha Ndoa na Harusi! Ukikaa na Waislam, usishangae saa 6 mchana umemwacha shoga yako Fatuma akiwa ni girlfriend tu wa Dullar, unarudi saa 7 unaambiwa Fatuma ni Mke Halali wa Dulla, na wala sio ndoa ya mkeka! Na kila ukichunguza hapo kwao kila kitu kipo kama ulivyokiacha wakati unatoka!! Usi-bet "haiwezekani", utapoteza!
 
Lakin kwa hadhi ya diamond ilibidi afanye hata sherehe ili zuu afurahie na waende honeymoon bana ,wanaofanya hivyo hawana uwezo ni chai maandazi
 
Lakin kwa hadhi ya diamond ilibidi afanye hata sherehe ili zuu afurahie na waende honeymoon bana ,wanaofanya hivyo hawana uwezo ni chai maandazi
Kwa Waislamu ndoa hazina mbwembwe, na ukiona mbwembwe basi wameunganisha ndoa na harusi! Keep this post, hicho unachokisema utakiona!
 
Hujanielewa
Nimekuelewa vizuri sana! Kuna watu wanaunganisha ndoa na harusi na wengine wanafunga ndoa kwanza kisha inafuata harusi! Hoja yako ni kwamba, hata kama ndoa huwa hazina mbwembwe basi kwa hadhi ya Diamond na Zuchu basi wangefanya angalau kwa mbaaaaali kitu ambacho kingevuta attention!
 
💯 na pia ili Zuu afurah sio kuolewa kama mwizi mtu ndoa ya kwanza jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…