Diamond Platnumz anahitaji kukua

Hivi alikiba ameenda hadi sasa unapoposti huu uzi? Au msiba uko insta alikopost? Weka picha ya kiba akiwa msibani.

The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
Leo nimeamini usemi wa TRUMP " kwamba mwafrika ni mtu mjinga"
Hivi ukipost kunaimpact gani kwa marehemu ?
au saiv kupost ndo ishala ya kwamba tuna uchungu sana?
Tuache kuendeshwa na mitandao bali tuishi kwa uhalisia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuuuzi mtupu. Umeandikaa ngonjera nyingi Kama unamtongoza demu wa kihindi
Siku nyingine uandike kwa ufupi? Hatuna muda wa kusoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaishi kwenye dunia ya kibepari na bado tunalalamika kunyonywa akili kumkichwa ukishangaa inakula kwako...huyo diamond na mgt yake nao ni wanyonyaji tena makatili haswaaa (refer rich mavoko case), wana hila za kila namna, wamejaa chuki na visasi inapokuja kwenye suala la maslahi ni jambo lingine...anzisheni biashara zenu afu muwe fair tuone
 
Kwani akikua atakua ana fufua watu?
Pambana na hali yako kiongozi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umeandika ujinga "samahani ila ndio ukweli wenyewe" diamond ni mtu wa karibu sana na CMG kuliko unavyodhani.
.
Sasa naomba unijibu hili swali watu wako wakaribu ama ndugu zako waliotangulia mbele za haki uliwahi kuwapost instagram au Facebook kwamba R.I.P na ni nini maana ya kufanya hivyo je ni ushamba? Kuonyesha umeguswa sana? Au ni nini?
 
Ujinga ni ule ule tuuu watu mmekua wajinga kweli baba jitu zima na manywele yako ya mkundu unakaa unamwandikia nani haya?
 
Kuna mzazi alimkaripia mwanae kwa kumwambia "kama mimi nisingekusomesha usingefika hapo ulipo, unishukuru mimi nakwambia"
Mtoto nae akajibu "kama na mimi nisingekazana kwenye masomo, hela yako ingeenda bure nakwambia, unishukuru mimi"

Wakati fulani tukubali kuwa, kunisaidia kupanda kutoka sehemu moja kwenda nyingine, sio kigezo cha kuninyanyasa utakavyo, hapana.
Kitendo cha kutopost chochote kwenye page zake, kwa wenye akili tushajua msimamo wake ukoje. Itoshe sasa tujikite kwenye kuomboleza msiba hadi tutakapoanua matanga.
 
Kwani wangapi hawajaenda?!Profesa,Sugu,Vanessa,Jux,Mimi Mars ushawaona wamekwenda?!vipi Idrissa Sultani,Wemasepetu,Gigymoney,Ushawaona wamekwenda?!
Nikkimbishi,Jide,Alikiba na watu wake,ushawaona?!
.
Unafiki mbaya sana,mwacheni Diamond sio lazima kila mtu amlilie huyo Ruge!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Povu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…