Diamond Platnumz anajulikana kuliko PEPSI!!!

Diamond Platnumz anajulikana kuliko PEPSI!!!

hiram

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
266
Reaction score
393
Issue ya Diamond Platnumz kuitangaza Pepsi linanifikirisha sana kwamba pepsi na Diamond nani maarufu kiasi cha kumtangaza mwenzake
 

Attachments

  • Diamond-Platnumz-1-360x240.jpg
    Diamond-Platnumz-1-360x240.jpg
    11.7 KB · Views: 19
Akili yako inawaza karibu sana.

Kwa Tanzania Pepsi ina zaidi ya magari 500 ya kuzambaza bidhaa zake, je Diamond anaweza kuwa na magari mangapi? Hadi umkuze kuliko pepsi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom