Diamond Platnumz anajulikana kuliko PEPSI!!!

Diamond Platnumz anajulikana kuliko PEPSI!!!

Ha ha! Hivi ndo vilikuwa vitoro darasani hasa kwenye masomo ya biashara!!
tulia wewe siyo kila mtu kasoma Biashara, si tulikuwa tunajichimbia chooni kusoma Abbot na Nelkon
 
Wick,
Fifa wamemtangaza Messi kuwa mshindi wa tuzo lakini Diamond inaitangaza Pepsi kuwa ni mkubwa wao
 
Diamond platnumz hatangazi kampuni ya pepsi ila anatangaza bidhaa za kutoka kampuni ya pepsi mfano, pepsi mkubwa wao kwa sasa na kila tukio ambalo kampuni ya Pepsi wataona inafaa watumiaji wao kupewa taarifa ..

Ila nikuombe ufahamu ya kwamba matangazo ndo uhai wa kampuni yeyote ya uzalishaji wa bidhaa haijalishi inaukongwe kiasi gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fifa wamemtangaza Messi kuwa mshindi wa tuzo lakini Diamond inaitangaza Pepsi kuwa ni mkubwa wao
Kwanini Messi asiwape tuzo Fifa kwa kusimamia vizuri Michezo!?.
 
Back
Top Bottom