Utafiti unasema wanawake wembamba ambao almost ni flat screen uwezo wao wa kufikiria ni mdogo....Sijui utafiti huu una ukweli naomba kuwasirisha
Nilipoona hii picha nimeshtuka nikidhani Harmorapa ameshatoboa mpaka kwa Ne-Yo,nilipotuliza akili ndio nikagundua ni Diamond.
Hahahah
Utafiti huo una ukweli kabisa mkuu,ila mwenye uwezo mdogo zaidi wa kufikiri ni yule anayehangaika na yale yaliyosemwa na mwenye uwezo mdogo wa kufikiri [emoji4].Utafiti unasema wanawake wembamba ambao almost ni flat screen uwezo wao wa kufikiria ni mdogo....Sijui utafiti huu una ukweli naomba kuwasirisha
Hahahah ngoja nimalizie kakiroba kanguHivi diamond fever bado ina watesa kumbe team matopeni [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dunia nzima ipo mikononi,hakuna janjajanja tena.Uzuri siku hizi wanadanganywa wapuuzi tu... Mambo yote kiganjani.
UKonga sio UK?Hata Ukerewe ni UK ama [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Ukongalabda kuna uk wanayoijua yeye na mashabiki zake huwezi kujua
UK =ukinga
KADANGANYA TENA ETI KAPOSTIWA NA CNNUkonga hiyo.
Jana nilipita kule mitaa yote hiyo ngoma inatamba.
Yaani were akili yako imepalalaizi hata macho pia hayaoni hii hapa?KADANGANYA TENA ETI KAPOSTIWA NA CNN
Uyo ngada inamsumbuaYaani were akili yako imepalalaizi hata macho pia hayaoni hii hapa?
View attachment 468647
kwenye page ya cnn ipo wapi?Yaani were akili yako imepalalaizi hata macho pia hayaoni hii hapa?
View attachment 468647
Nenda ccn africa twitter utaiona ,kwenye page ya cnn ipo wapi?