Diamond Platnumz anawadanganya wafuasi wake eti wimbo wake unaongoza UK!

Diamond Platnumz anawadanganya wafuasi wake eti wimbo wake unaongoza UK!

e6a2edc736bc176f44553b842e9d4e4a.jpg

Nilipoona hii picha nimeshtuka nikidhani Harmorapa ameshatoboa mpaka kwa Ne-Yo,nilipotuliza akili ndio nikagundua ni Diamond.
Hahahah
Utafiti unasema wanawake wembamba ambao almost ni flat screen uwezo wao wa kufikiria ni mdogo....Sijui utafiti huu una ukweli naomba kuwasirisha
 
Utafiti unasema wanawake wembamba ambao almost ni flat screen uwezo wao wa kufikiria ni mdogo....Sijui utafiti huu una ukweli naomba kuwasirisha
Utafiti huo una ukweli kabisa mkuu,ila mwenye uwezo mdogo zaidi wa kufikiri ni yule anayehangaika na yale yaliyosemwa na mwenye uwezo mdogo wa kufikiri [emoji4].
 
Ukonga hiyo.

Jana nilipita kule mitaa yote hiyo ngoma inatamba.
 
Back
Top Bottom