Diamond Platnumz anaweza kuziba pengo la Kanumba akiwa muigizaji pia

Kwa mtazamo wangu, watanzania tunakalili ila siku hizi kuna waigizaji kanumba haoni ndani.
Mfano yule jamaa anaigiza juakali kama luka, ni moto wa kuotea mbali kuanzia kuigiza hadi facial expressions zake zinaendana na anachoigiza. Kuna Mimi Mars, yule binti nadhani ana kipaji kikubwa cha kuigiza kuliko hata kuimba. Yule binti ni moto wa kuotea mbali kabisa.
Kanumba alikuwa mzuri zama zake ila waigizaji wazuri wapo kwa sasa.na siku hizi naona watu wameinvest sana kwenye tamthlia naona tasnia inakua sana. Dstv wanamwaga pesa sana
 
Sasa atoboe mara ngapi.
 
Mnamuingiza Chaka Sana mziki unalipa kuliko hyo bong movie yenu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Diamond ana vipaji vingi sana
 
Hakuna kama kamumba hata na appearance ya kanumba illikuwa mzuri huyu dai atasubiri sana mvuto hana
 
Kuna Jambo msela anatuletea sema Nini tuicheki TU kwa jicho la kiburudani

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app

Haswa, na ni kuhusu kinachoendelea sasa.(sio wote wataelewa alichomaanisha)

Kawasilisha ujumbe kwa fumbo ambalo kirahisi huwezi elewa, wengi wamechukulia Zuwena juu juu.

Ila imebeba ujumbe mzito mnoo, kongole kwake ndugu Nasib🫡
 
Duh Safi. But dhambi pengine kujaribu kufumbua fumbo hili

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Haswa, na ni kuhusu kinachoendelea sasa.(sio wote wataelewa alichomaanisha)

Kawasilisha ujumbe kwa fumbo ambalo kirahisi huwezi elewa, wengi wamechukulia Zuwena juu juu.

Ila imebeba ujumbe mzito mnoo, kongole kwake ndugu Nasib🫡
Acheni uongo, kila neno linaweza kuleta mahana tofauti kama ukiamua kulitafsiri unavyotaka wewe. Ila nyimbo ya Zuwena haina tafsiri hiyo mnayotaka kutuaminisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…