mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Stunning aren't they? Go join they are open for welcoming... though i doubt somebody with a brain like yours will be welcomed unless they pitty you.Freemason hao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ali Kiba analo kama hilo tangu mwaka juzi sema aliendeshi tu, hapendi show off.
WaTanzania tuna laana ya babu zetu[emoji23][emoji23][emoji23]Kama wanaweza kuomba DNA test ya watoto wake, basi Watanganyika wenzangu hawashindwi kuomba risiti ya manunuzi ya hilo gari na leseni...
Akili ya Mtanganyika sio ya kawaida..!
We na elimu yako imekufikisha wapi?Badala ya kuwekeza kwenye elimu anaanza mashindano.
Kumbe ujanielewa,naposema kuwekeza kwenye Elimu sio kujiendeleza Bali ni kufungua shule au chuo cha muziki.We na elimu yako imekufikisha wapi?
Kaingia kwenye mziki kakuta kuna watu wanafanya mziki wakiwa na degree zao yeye hata secondary hakumaliza lakini amegeuka kuwa role model wao.
Elimu za kina Prof. Mapumba??? au unaongelea elimu gani?Badala ya kuwekeza kwenye elimu anaanza mashindano.
Hata wewe ulivyokua nalo tulikushangaa!! hahahah wabongo kwa wivu.Hilo gari mbona mim nilikua nalo 5 yrs back.nikauza,nyie mnashangaa leo
Kumbe ujanielewa,naposema kuwekeza kwenye Elimu sio kujiendeleza Bali ni kufungua shule au chuo cha muziki.We na elimu yako imekufikisha wapi?
Kaingia kwenye mziki kakuta kuna watu wanafanya mziki wakiwa na degree zao yeye hata secondary hakumaliza lakini amegeuka kuwa role model wao.
Elimu hizi hizi za kina profesa lipumba? Doctor mwakiembe, doctor mkuu?Badala ya kuwekeza kwenye elimu anaanza mashindano.
Naposema kuwekeza ni kufungua shule au chuo cha muziki ili aweze kuwaajili wengene.Elimu za kina Prof. Mapumba??? au unaongelea elimu gani?
U-freemasonry hauleti pesa kirahisi namna hiyo, ingekua hivyo wauza madawa ya kulevya na majambazi wangejiunga huko. alafu hiyo gari mbona ya kawaida sana na zipo mitaani?Freemason hao
Ndio wapi huko mitahani..?Mbna hzi gar zipo tu mitahani.
Mnafiki ni were usiyejua nilimaanisha nini.Wabongo wanafiki sana, unarusha dongo kwa mwanaume mwenzio wakati wewe hata baiskeli ya kuazima tu huna.
Ok, mpangie sasa na jinsi ya kutafuta hizo pesa, mana umeweza kumpangia namna ya kutumia alizotafuta yeye.Naposema kuwekeza ni kufungua shule au chuo cha muziki ili aweze kuwaajili wengene.
Hupo hapo.