Diamond Platnumz anunua ndinga mpya kama ya Ronaldo

Diamond Platnumz anunua ndinga mpya kama ya Ronaldo

Kwani MTU anasoma ili aweje?na je kama akili ni za kuunga kibashite bashite alazimishe? Kajitahidi kujua lugha, kuhesabu hela + kipaji na vinampa kipato cha kutosha iliyobaki ale maisha tu hakuna haja ya kuangaika na shule.
hata waliosoma wanatafuta pesa, ndo maana wasomi wengi wanahesabu tarehe za mishahara na kusubiri kukopa hata pesa ya kula.......unaringia elimu bongo nakati upo na kidegree chako umekwama na unaona hakina tija. pesa
 
Nimetoa mtizamo wangu.
Gwajima kila misa anavuta millions na hatumii nguvu.

Sasa yy aendelee na Maigizo aje ajute uzeeni.
unahisi ye hajui uzee wake, yaani mtu utokee familia km ya platnumz afu ushindwe kujua ya kesho. uwekezaji wake ni mkubwa mno kuliko tujuavyo
 
unahisi ye hajui uzee wake, yaani mtu utokee familia km ya platnumz afu ushindwe kujua ya kesho. uwekezaji wake ni mkubwa mno kuliko tujuavyo
Tulia basi. Mm nimetoa mawazo yangu. Na unaweza kuwa ushauri pia.
Mifano ipo mingi siyo yy tu.
Mr. Nice, Dududubaya, nk.
 
Mwanamuziki namba moja Tanzania na Afrika Mashariki baada ya kushambuliwa sana na mitandao ya kijamii wiki jana na mwanzoni mwa wiki hii ameamua kujipoza na ndinga kali yenye hadhi ya kimataifa.

Mbona hayafanani? Au ulikosea title?

Cristiano-Ronaldo-Cars-audi-r8-2014.jpg
 
Mnafiki ni were usiyejua nilimaanisha nini.
Kwa taarifa yako sifanyi mashindano Bali naibua ajira ili niwasaidie wengine.
wewe una vyuo vingapi na mashule mangapi.. mipango sio matumizi... ni rahisi sana kupanga kitu ila kutekeleza ni shughuli pevu.. ungeibua njia za kupata pesa sio kupangia watu watumizi baada ya kupata pesa zao
 
Mwanamuziki namba moja Tanzania na Afrika Mashariki baada ya kushambuliwa sana na mitandao ya kijamii wiki jana na mwanzoni mwa wiki hii ameamua kujipoza na ndinga kali yenye hadhi ya kimataifa.

Ndio vizufi kuwa nyuma ya serikali wakikutuma ukifanya kama walivyokuagiza aaah mbona utafulahi hata kama mama yako yuko mhimbili utasahau mateso anayopata

Wasaidie diamond mjenge rekivya pugu__ mvomero , fryover mjini dsm na mmakizie uwanja kule chato na msininukuu vibaya kuna mwingine alipotea baada ya kuhoji nanii eeh cheti cha ekimu yake kubwa ilee nini eh!!
 
Gwajima anazo gari hizo kama 50 hivi plus helicopter
 
Back
Top Bottom